Search results

  1. mwitasa

    Vitu gani vya kijinga na hatarishi uliwahi kufanya katika maisha yako?

    Kuna wakati maisha yanaweza kukubana na kukupelekesha kiasi cha kuchukua uamuzi wa kufanya jambo fulani ukasahau kutumia akili yako au elimu yako ya darasani kutoa uamuzi sahihi. Baada ya kutekeleza jambo hilo na ukafanikiwa au ukafeli na kuumbuka ndipo unagundua ulichukua maamuzi ya kipumbavu...
  2. mwitasa

    Serikali/NECTA iangalie hili

    Kwa nini hakuna Combination ya ECA kwenye special school za shule za wasichana?. Kwa kweli inakera na inakatisha tamaa kwa wanafunzi na wazazi. mtoto kapata div.1.7 akiwa na AAA kwenye hesabu Commerce na bookkeeping kapelekwa shule za kawaida wakati wenzake kwenye michepuo tofauti na point za...
  3. mwitasa

    Mti wa maajabu ulivyonifanya kuishi jijini Dar bila kazi

    Mwaka 1995 Baada ya msoto wa kutosha nikaona nitazeekea kijijini kabla ya umri wangu kwa kilimo kisichokuwa na tija. Niliamua kutafuta plan B. Nikamwandikia rafiki yangu wa utotoni barua aliyekuwa akiishi Dar kuwa maisha ya kijijini yamenishinda hivyo nimeamua niende Dar kutafuta kazi na kuwa...
  4. mwitasa

    Mkasa gani uliwahi kukukuta kwenye uhusiano wa kimapenzi?

    Kwangu mimi, Mkasa wangu wa kwanza; ilikuwa mwaka 2015, nilianza mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwenye daladala na kubadilishana namba, kisha nikamwitia getoni kwangu tukafanya yetu huku nikitumia kinga. Baada ya mwezi 1 akatimba getoni kwangu akiwa na uniform ya shule, madaftari na...
  5. mwitasa

    Walimu wabobezi O level masomo ya science Dsm

    Nina vijana wangu mwezi ujao wanamaliza mtihani wao wa darasa la saba. wakimaliza tu mwezi wa 10 nataka waanze kusoma tuition mkoa wa Dsm kwenye masomo ya science ya form one ambayo ni mathematics, physics, chemistry na biology. Lengo kufikia January wanapoenda kuanza kidato cha kwanza angalau...
  6. mwitasa

    Anayejua ada za sekondari hizi

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa matokeo ya kidato cha nne tangu 2015 hadi 2021. Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa katika shule za binafsi sekondari zifuatazo zinafanya vizuri sana hazikosi ndani ya 10 bora kitaifa. Anayejua ada zake na utaratibu wa kujiunga huko anijulishe nianze maandalizi...
  7. mwitasa

    Je, kuua jambazi aliyekuvamia ni dhambi?

    Kwa wale wa imani ya kikiristu Moja ya amri za Mungu ni kuwa "usiue". Nimekaa natafakari mfano niko nyumbani kwangu mara majambazi yenye bunduki waingie nyumbani kwa lengo la kunidhuru au kunipora mali je nikiwawahi katika hali ya kujitetea au kujihami nikaua mmoja wao nitakuwa nimetenda dhambi...
  8. mwitasa

    Kiingereza lugha ya east african community

    Kipindi napitia taarifa mbalimbali kwenye mtandao nimekutana na taarifa moja kuwa yafuatayo ndio makubaliano kuhusu lugha rasmi ya east africa. 1. Lugha iliyopitishwa rasmi kutumika katika jumuia ni kingereza hivyo kiswahili na kifaransa vimekataliwa. 2.Nchi zote za jumuia zitakuwa na mtaala...
  9. mwitasa

    Jamani nani kaniroga?

    Nimekuwa na maisha magumu kwa huruma . Nafanya kazi ila mshahara wangu wanaishia kufaidi ndugu zangu na watu wengine. Ndugu zangu wamekuwa kila wakati watu wa kunililia shida tu na zote zinaishia kuhitaji hela na shida huongezeka zikikaribia tarehe za mwisho wa mwezi nami nimeshindwa namna ya...
Back
Top Bottom