Search results

  1. E

    Mabinti toka familia tajiri ni Kero kwenye ndoa

    Mabinti hawa huishi kwa CV za wazazi wao. Hawajui shida wala ku-hustle. Ewe kijana epuka mteremko maana tubinti hutu ni mzigo wa misumari kwenye ndoa. **Ushauri: I. Tafuta binti mvumilivu anaejua maana ya maisha. II. Elimu (maximum=Bachelor degree, preferably BA/Bsc. Education.....ngumbaru...
  2. E

    Malkia wa Nguvu 2017 wasaidiwe

    Shindano hili no zuri linaibua ubunifu was Mama na Dada zetu. cc. Safari wa bjasharA
  3. E

    Uongozi ni kipaji, si vyeti

    Kama mnavyojua uongozi ni tunu ambayo wachache hutunukiwa kuwaongoza wengi. Wana-daresalama wamepata tunu hiyo hivyo ni fahari kwao kujinasibu kwa kutembea kifua mbele kwa kuongozwa na kiongozi mwenye vipaji lukuki anaevitumia kuendeleza mkoa. ASANTENI
  4. E

    Nani alimuua Samora Machel?

    Wakati ndugu zetu wa Msumbiji wakimkumbuka Mmoja wa viongozi mashuhuri Kamarade Samora Machel, baada ndege aliyopanda pamoja na abiria wengine 34 ilipotunguliwa katika milima ya jimbo la Mpumalanga kuelekea Msumbiji mwaka 1986, je ni nani alihusika na mauaji wa Mwana-Mapinduzi huyu toka jirani...
  5. E

    Je unahitaji Ushauri wa Kielimu, kujiajiri au Kujiajiri?

    Mnakaribishwa kama unahitaji ushauri kuhusu Elimu (kujiunga na Chuo hasa vyuo vya Ujerumani, South Africa & Botswana pamoja na POSTGRADUATE SCHOLARSHIPS kwa vyuo vya nje) kujiajiri au jinsi ya kupata kazi (ikiwemo uandishi bora wa CV, jinsi ya kujiandaa kabla na ukiwa kwenye Interview. Do's &...
  6. E

    Wanaomaliza vyuo Vikuu Wanaajirika? Wanaweza kujiajiri?

    Nimekuwa nikijiuliza suala hili mara nyingi unamkuta graduate wa Chuo kikuu amemaliza na anaishia kulalamika tu kuwa hana kazi. Swali ni kuwa wanafunz hawa wana sifa za kuaji
  7. E

    Fastjet cancellation zimezidi

    Nimekuwa mdau mkubwa wa Fastjet toka ianzishwe kwa domestic na International flights na hasa Johanesbug lakini hivi karibuni hawa jamaa FASTJET wamezidisha ku-cancel ndege imenikuta nikiwa ugenini (Johannesburg) na nimeishiwa pesa. Nawapigia CALL CENTRE hawapokei. Kwa kweli NAFUU NI GHARAMA.
  8. E

    Siku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie

    Wandugu kama mjuavyo wengi wetu tumesoma shule za st. Kayumba kwa hiyo Ngeli ni ishu kwetu. Basi kwa kuunga unga hivyo hivyo nikachaguliwa Chuo (UDSM) sasa kufika huko si ndo mambo ya Seminar za DS 101 natakiwa ni-present ilikuwa balaa usiku kabla ya seminar sikulala naogopa. Kwenye seminar...
  9. E

    Kata kitambi sugu jogging club

    Je unateseka na kitambi sugu/manyama uzembe na umetumia dawa kadhaa na haijsaidia? Basi usihofu jiunge nasi saa 12:15 asubuhi pale mlimani city mall (geti la kuelekea Survey/Chuo Kikuu kwa ajili ya jogging mpaka uwanjani UDSM/Chuo na kurudi mlimani city muda ni kati ya dakika 30 mpaka 45. Hakuna...
  10. E

    Mantiki ya kiingilio 7-7 ni nini?

    WAKATI MAONYESHO YA 7-7 YAKIENDELEA UWANJA WA MWL. NYERERE KILWA ROAD NAJIULIZA HIVI IWEJE TANTRADE WAWEKE VIINGILIO KWA ANAEINGIA HUMO UWANJANI? WAKATI HAKUNA HUDUMA YOYOTE (mfano vyoo, maji nk) wanayotoa kwa waonyeshaji au wanunuzi? je hawaoni kuweka kiingilio kunafanya watu wengi...
  11. E

    Ushauri wa kimasomo bure

    je wewe ni mwanafunzi au mtu yoyote unataka kujiendeleza kimasomo katika ngazi yoyote ya elimu na hujui pa kuanzia? binafsi natoa ushauri wapi unaweza ku-apply kulingana na grades zako kwa sasa naweza kukusaidia jinsi ya kuomba vyuo vikuu vya South Africa 1. UNISA 2. PRETORIA 3. KWA ZULU NATAL...
  12. E

    Why is Morocco not an African Union member state?

    Dear Colleagues I learnt from different sources that Morocco is not African Union(AU) member state. Can someone assist me why this? Appreciate.
  13. E

    Fursa: FastJet kuanza safari Dar - Harare

    Kuanzia mwezi wa 8 Fastjet wataanza kupaa kwenda Harare, Zimbabwe kutokea Dar, TZ. Kwa wale wafanyabiashara katika ya nchi hizi mbili tuliokuwa lazima tupitie Nairobi kwa KQ/PW sasa tukamate fursa kuendeleza biashara.
  14. E

    Nimeishiwa maneno (Angalia Picha)

    Jamani hiki ni nini sijaelewa kwa kweli
  15. E

    Hivi China walishashirikigi World Cup?

    Naangalia mechi ya USA vs Ghana imenifanya nifikirie kama ndugu zetu wacheza karate na kutengeneza vitu feki kama walishawahi kushiriki (si kuchukua) kombe la dunia au nao ka sisi TIA MAJI TIA MAJI.
  16. E

    Ujane unapotumika kuhalalisha uvivu/umaskini

    Naelewa kuondokewa na mwenzi wa maisha inauma na kubadilisha muelekeo wa maisha. Sasa hiv kumezuka hali ya wanawake waliofiwa na waume zao (Wajane) kutumia hali yao ya kuwa wajane kulia lia ooh mimi mjane mimi mjane! huku hajishughulishi. Hivi majuzi stendi ya Mwenge kulikuwa na bomoa bomoa...
  17. E

    Tunadhalilika PHD students tunaosoma Ujerumani kwa ufadhili wa Wizara ya Elimu

    sisi wanafunzi wa kitanzania tunaosoma vyuo vikuu mbali mbali hapa ujerumani masomo ya Shahada ya Uzamivu kwa ufadhili wa wizara ya elimu, tunadhalilika kutokana na mfadhili (wizara ya elimu, TZ) kutokutulipa pesa ya kujikimu kwa muda wa miezi 4 sasa. Huku tunadaiwa kodi za nyumba pamoja na...
  18. E

    Finally, AU spoke out amid Malawi election results confusions

    AU Chairperson Mrs. Zuma has just spoken out on the ongoing situation in Malawi, she urges Malawians and African in general to calm down as Malawi electoral commission finalise compiaion of just ended eneral election (find attached) for further details.
  19. E

    Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

    Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke). Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod...
  20. E

    Picha: Wahaya mbwembwe mpaka harusini

    Jamani hawa ndugu zetu toka pande za Bukoba (Wahaya) wamezidi mbwembwe mpaka harusini huyu bwana harusi alileta mashauzi kwenye harusi kwa kuruka mpaka suruali ikachanika (ikatatuka) Aibuuuu!!!
Back
Top Bottom