Fursa: FastJet kuanza safari Dar - Harare

educator2025

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
386
438
Kuanzia mwezi wa 8 Fastjet wataanza kupaa kwenda Harare, Zimbabwe kutokea Dar, TZ. Kwa wale wafanyabiashara katika ya nchi hizi mbili tuliokuwa lazima tupitie Nairobi kwa KQ/PW sasa tukamate fursa kuendeleza biashara.
 
Weka post vzuri watu wajue ni fursa gani hua zinapatikana zimbabwe na Tanzania over
 
Tatizo waTanzania mnataka mtafuniwe kila kitu yaani unataka tena mtoa mada akuambie Zimbabwe kuna fursa gani? yeye katoa info. kuwa fastjet wanaenda huko ni jukumu lako wewe kutafuta fursa zaidi si kumuuliza tena
 
Tatizo waTanzania mnataka mtafuniwe kila kitu yaani unataka tena mtoa mada akuambie Zimbabwe kuna fursa gani? yeye katoa info. kuwa fastjet wanaenda huko ni jukumu lako wewe kutafuta fursa zaidi si kumuuliza tena

mkuu hakuna mtu aliyehitaj kutafuniwa hapo, kaleta mada inabidi ainyumbue vizuri ili tuelewe na kuzijua hizo fursa anazosema kabla watu hatujaziacha familia zetu na tukaenda huko kumbe ni mambo tofauti
hii pia itasaidia mimi kujipima kwa mtaji nilonao na huo uwekezaj anaousema jamaa
 
Dar-es-Salaam , Tanzania; Harare, Zimbabwe and New York City, USA

By Chris Jasper

June 23, 2014

Fast Jet PLC (FJET) said it will commence flights to Zimbabwe from its operating base in Tanzania, adding a third international destination after South Africa and Zambia.

FastJet will begin twice-weekly flights from Dar es Salaam to Harare from Aug. 5, providing the only direct scheduled service on the route, the London-based company said today in an e-mailed statement.



Founded in 2012 with the ambition of becoming the first pan-African low-cost carrier, FastJet initially flew within Tanzania before commencing flights to Johannesburg in October and later adding Zambian capital Lusaka.



EasyJet Plc (EZJ) founder Stelios Haji-Ioannou expanded his stake to 10 percent via a funding deal in April aimed at financing FastJet’s network expansion and possible additions to a fleet of leased Airbus Group NV (AIR) A319 short-haul planes.



To contact the reporter on this story: Christopher Jasper in London at cjasper@bloomberg.net
To contact the editor responsible for this story: Benedikt Kammel at bkammel@bloomberg.net
 
Kwanini Tanzania isinunue Fast Jet iwe ya kwao?? ATCL wataweza kweli ushindani??

BTW

Kwanin Fast Jet haiendi Nairobi?
 
Fastjet haiendi Nairobi maana KENYA AIRWAYS wameogopa ushindani maana wanajua muziki wa Fastjet kupitia ndugu zao wa hapa PRECISION
 
Kuanzia mwezi wa 8 Fastjet wataanza kupaa kwenda Harare, Zimbabwe kutokea Dar, TZ. Kwa wale wafanyabiashara katika ya nchi hizi mbili tuliokuwa lazima tupitie Nairobi kwa KQ/PW sasa tukamate fursa kuendeleza biashara.
Mleta Mada naomba kujua gharama toka KIA hadi JNIA ni bei gani??
 
Hii ni siridi ya awamu zote mbili, awamu ya jk kampuni nyingi zilifanya vzr sana na mazingira yalikuwa rafiki, awamu hii mazingira yamezidi kuwa mazuri zaidi na rafiki.
 
Back
Top Bottom