Duu huyu dogo mbn kama namfahamu au namfananisha alikuwa akitumia jina la Rashid kkoo miaka hiyo anaflash flash simu tunamfundisha alipotea kitambo ndonamwona hapa na mastory haya dogo alikuwaga simple tu amakweli nganda aidanganyi aiseee
Uwiiiii kwl nimebarikiwa mno mno aliyebuni uzi huu mwili na nyama avijamfunulia bali Rm pls kwanini lifunguliwe group la wassap tupate kwa urahisi hizi nyimbo mfano wimbo wa katika safari ya injili wa kimara lutheran kwaya namkumbuka marehemu shangazi yng na sauti yake naisikia kbs
Point kbs mkuu trafik awapo kusaidia/shauriana/elimishana wao wapo kwa kazioja tu kukomoa kwa kukuandikia faini wanaona ndiyo jukumu lao tu basi lkn c kuonya/elekeza hpn fikiria ulichokisema hapo mm majuzi nimetoka mwenge nakwenda stendi ya mkoa kufika mataa mbele akuna gari na taa zimewaka...
Maelezo yako ni mazuri ila kusema mwaka 1999 ni nyie 3 ndiyo mlianza ufundi huo ni uongo that time ujaanza wala ujulikani kbs walikuwepo Hima kimeo na Mengi wa post enzi hizo ni mobitel analogi na Steve wa kkoo miaka hiyo.
Hoja yako ni nzuri Tcra wanatakiwa wajue na wanajua kwamba mtu unaweza...
Kipo Dar wilaya ya Ilala jimbo la ukonga kata ya Kipunguni, kina urefu wa futi 29 na upana wa futi 19 barabara ipo na umeme upo karibu utonunua mchanga wakati wa ujenzi wala maji mnunuzi serious tuwasiliane inbox
Mm niliwai nunua kwenye kituo kbs nilipaki juu kwa juu foleni nikafungua faster waniletee na nimezoea mlinzi akaniletea mpya akuchuka wazamani kwa buti nikampa hela.yake nafika.nyumbani washa washa na ww unatoa maji.cjui nn asubui nikabeba ni mzito kama kawaida naika pale nawaeleza wananiambia...
Hivi kwani bado atagombea? Huo ufisadi uloutaja mdogo sn kuna hela nyingi wamepiga za kubadili matumizi ya ardhi kutoka viwanda kwenda makazi ahadi aloaidi Jk wakati inafanyiwa kazi akaja kulagai wananchi kwamba wanashugulikia wachangie sh54,000/ wakaja kuweka vinondo wakalia watu hela ikapita...
Agombee tuu ni haki ya kila raia wa Tz kugombea nafasi zozote za uongozi na hakuna chama chenye hati miliki ya uongozi wa nchi hii kama ni wa ccm au ukawa ajitokeze mapema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.