Search results

  1. kat.ph

    Kiwanja kinauzwa Tegeta

    Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school. Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa. Urefu wa kiwanja ni mita 37 Upana wa kiwanja ni mita 23 Bei 19M. PM kwa serious buyersKaribuni
  2. kat.ph

    Kiwanja kinauzwa Tegeta

    .
  3. kat.ph

    Kiwanja kinauzwa -Tegeta Nyakasangwe

    Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school. Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa. Urefu wa kiwanja ni mita 37 Upana wa kiwanja ni mita 23 Bei 19M. Hakuna udalali PM kwa serious buyers Karibuni
  4. kat.ph

    Startimes na wizi wa waziwazi

    Habari wanabodi... Kampuni ya startimes kupitia ving'amuzi vyake sasa inafanya wizi wa waziwazi kwa wateja wake; 1. Channel zinazitakiwa kuonekana bure (local channels) hazionyeshi, na ukiwasiliana nao wanakwambia uende ofisini kwao na 12,000 (wengine wameambiwa 5500) ili wakupe kadi mpya...
  5. kat.ph

    Kiwanja kinauzwa 5M

    SOLD OUT SOLD OUT SOLD OUT
  6. kat.ph

    NA MTUACHE TULALEEEE

  7. kat.ph

    Zijue dalili zinazoashiriwa na muonekano wa kucha zako

    Zijue dalili hizi zinazoonyeshwa na kucha..... Kucha zikiwa na vidoti vyeupe inaonyesha mtu ana upungufu wa vitamins au reaction ya allergy Kucha ikiwa na mstari/mistari mweusi inaweza ikawa inaonyesha dalili ya melanoma (melanoma ni aina ya kansa ya ngozi) Kreki kwenye kucha yaweza...
  8. kat.ph

    Kipi bora, kuzaa nje au kuasili (adoption)?

    Salaam! Wakuu kuna jambo hili nahitaji maoni na mawazo yenu. Ukiwa na mkeo au mumeo ambae mmeishi pamoja na kugundua hamuwezi kupata mtoto kwa sababu mmojawenu (mume au mke) hana uwezo wa kuzaa..... Je, suluhisho bora zaidi kwa issue kama hiyo ni ipi kati ya hizi? ; 1. Kuzaa nje Hapa mwenye...
  9. kat.ph

    Kiwanja kinauzwa 6M

    Kiwanja kinauzwa. Kipo Pugu kajiungeni karibu na shule ya GREENHILL. Kina ukubwa wa 30*22 in meters Yaani urefu = 30 Upana = 22 Serious buyers njoo dm
  10. kat.ph

    Siri ya picha

    Sasa nimeelewa alichomaanisha @mshanajr aliposema kuna siri kwenye picha tunazopiga. Na huja kubainika baadae... Mshana njoo huku
  11. kat.ph

    Hatima ya waliosoma diploma na wakapata 3.4 gpa kushuka chini (lower second)

    Habari Ninaomba kufahamishwa kama serikali imetoa muongozo wa hatima ya wale waliosoma stashahada (diploma) na wakapata GPA ya 3.4 kushuka chini..... yaani Lower second (achana na pass). Muda unakimbia kwa kasi sana na ingepaswa hili litolewe muongozo. Tafadhali kwa anayefahamu...... Ahsante
  12. kat.ph

    Orlando Shooting Shows Islam Has Been 'Hijacked by ISIS'

    ORLANDO SHOOTING UAE Tolerance Minister Says Orlando Shooting Shows Islam Has Been 'Hijacked by ISIS' “We need to wake up.” Sheikha Lubna Al Qasimi, the United Arab Emirates’s minister for tolerance, says the Islamic State has “taken the world by surprise.” Now, she says, the global community...
  13. kat.ph

    Mdogo mdogo, Diamond atabwia unga

    MDOGO-MDOGO, DIAMOND ATABWIA UNGA PESA ina kelele mno! Ukiwa na fedha, unaweza kujitahidi kujificha lakini ikawa vigumu. Unawezaje kujificha wakati noti zimetuna kwenye waleti? Ubavu upi unao wa kujionesha maskini wakati benki unawapa wakati mgumu wahesabu pesa zako kutokana na wingi wake...
  14. kat.ph

    Pope Francis and Top Sunni Leader Meet at the Vatican

    "The meeting is the message,” Pope Francis said as he welcomed Sheikh Ahmed al-Tayeb, the grand imam of Al-Azhar and the highest religious authority of the Sunni Muslims, to the Vatican on May 23. The two leaders talked together in private for 25 minutes about the importance of the commitment...
  15. kat.ph

    Kwa anayejua chanzo au maana ya utamaduni huu

    Enzi za Magufuli Enzi za Kikwete Huu utamaduni ulianza lini? Una maana gani? Kwa anayefahamu
  16. kat.ph

    Nani aliyempachika Wema Sepetu mimba?

    Wakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika mimba Wema yameendelea kuzunguka. According to anayesemekana ni baba kijacho, amesema wanategemea Wema...
  17. kat.ph

    Usikimbilie ndoa

    Anayetoa ni Mola pekee yeye, kwa kila goti na dua anajibu yeye.....Usijeitaka harusi kwa pupa, Usijeitaka harusi ukarudi na talaka. Usikimbilie mume ukaukondesha moyo Kuwa na subira usiwe na pupa. Mungu amekuumba na sifa kedekede....ukimuomba yeye atakusikiaJiamini mama usiwe na mapepe!Yanini...
  18. kat.ph

    Picha ya wiki

    Magufulification
  19. kat.ph

    Katibu wa UVCCM wilaya ya Mbulu ateuliwa mbunge viti maalum CHADEMA

    Anna Joram Kideria ambae ni katibu wa vijana wilaya ya Mbulu, ameteuliwa kuwa mbunge viti maalum CHADEMA . Hongera dada kwa kazi nzuri katika uchaguzi mkuu. Hii ndio zawadi yako!
Back
Top Bottom