Search results

  1. T

    Wenye mtaji Njoo tuwekeze huku kwenye migodi ya dhahabu

    Kuna ambao walikuwa wauza uji mgodini ila kwa sasa ni matajiri wa kutupwa....biashara ya madini ina sehemu mbili...inaweza kukutoa mpaka kila mtu akashangaa na kutamani kuwekeza kwenye madini na inaweza kukufilisi mpaka ukawa chizi...nina mifano hai kabisa...
  2. T

    Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

    150km/hr ni max speed mkuu....kimsingi itakuwa inatembea kati ya 80km/hr na 120km/hr na si zaidi ya hapo nadhani
  3. T

    Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

    Ni SGR mkuu, aliyewaambia ni high speed (Bullet train) aliwadanganya mchana kweupe, hii ya kwetu inaweza hata isifike 180km/hr..... nadhani itakuwa between 100 and 150km/hr max
  4. T

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    KILA LA HERI...MIMI KUBET SIJUI AISEE NINGEKUFUNDISHA
  5. T

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    UNATAKA KUBET
  6. T

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Njoo nikufundishe FOREX
  7. T

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Wamepigwa na kitu kizito kichwani na waarabu....hahahahahahaaaa
  8. T

    Makonda hali ngumu, awasilisha Hati Kinzani Mahakamani kuhusu kesi ya Utapeli wa Gari

    Inategeme umefungwa muda gani...kama miezi sita je
  9. T

    Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

    Binafsi, Ile habari kwamba ndege matairi yaligoma kutoka naona Ina mashiko, na itakua ndio sababu kubwa ilimshawishi rubani kutua kwenye maji. MKuu tairi huwa hazitolewi ndege ikiwa inakaribia kugusa runway...zinatolewa mapema kabisa ndege ikiwa angani huko ili kama zikigoma kutoka rubani...
  10. T

    Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

    Kumbe inawezekana kama pangekuwepo na plain surface mfano wa uwanja wa kuchezea mpira wa miguu, ile ndege ingeweza kutua salama na abiria wote wangeokoka kABISA MKUU...HILI LILISHATOKEA HUKO DUNIANI TENA MARA NYINGI TU
  11. T

    Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

    hiki ndo kilitakiwa kifanyike na kwa wakati
  12. T

    Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

    Naunga mkono Hoja....mdogo wa Ex wangu kafia kwenye hyo ajali...nimeumia sana maana she was still very young and beautiful....na alikuwa anamfuata mchumba wake Bukoba....nimeumia sana sana
Back
Top Bottom