Yuko wapi Erick Komanya Kitwala. Alikuwa Dc Tabora na teuzi yake toka kwa hayati ilisadikika kujaa upendeleo

Baba yake alifanya kazi na hayati Nyanza Coop Ltd na hapa ndio ikawa mwanya ww upendeleo.
Mkuu Kalulu, Kalulumila the Great, acha kuleta ujuha kalulu hapa!. Nafasi zote uteuzi ambazo mtu haombi kazi, mteuzi ana uhuru wa kumteua mtu yoyote kwa sababu yoyote, au bila sababu yoyote na uteuzi huu hauhojiwi na mamlaka yoyote!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Kwa wale wasiomjua mtajwa, ni msomi wa hali ya juu na mhitimu wa sheria LL.B, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, hivyo ni mtu mwenye sifa za ziada kuliko hata u DC!, hivyo mtu kama ana sifa hadi za ziada, huo upendeleo ni upendeleo gani?. Angekuwa hana sifa, akateuliwa hapo ungèjustify upendeleo, lakini mtu ana sifa, ulitaka ateuliwe nani?.
P
 
Mkuu Kalulu, Kalulumila the Great, ucha kuleta ujuha kalulu!. Nafasi zote uteuzi ambazo mtu haombi kazi, mteuzi ana uhuru wa kumteua mtu yoyote kwa sababu yoyote, au bila sababu yoyote na uteuzi huu hauhojiwi na mamlaka yoyote!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Kwa wale wasiomjua mtajwa, ni msomi wa hali ya juu na mhitimu wa sheria LL.B, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, hivyo ni mtu mwenye sifa za ziada kuliko hata
u DC!, hivyo mtu kama ana sifa hadi za ziada, huo upendeleo ni upendeleo gani?. Angekuwa hana sifa, akateuliwa hapo ungèjustify upendeleo, lakini mtu ana sifa, ulitaka ateuliwe nani?.
P
Mleta uzi ana bifu nae huyo aliekuwa mteuliwa wa Magufuli,huenda hata ni jirani yake hapo mtaani kwake
 
Mkuu Kalulu, Kalulumila the Great, ucha kuleta ujuha kalulu!. Nafasi zote uteuzi ambazo mtu haombi kazi, mteuzi ana uhuru wa kumteua mtu yoyote kwa sababu yoyote, au bila sababu yoyote na uteuzi huu hauhojiwi na mamlaka yoyote!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Kwa wale wasiomjua mtajwa, ni msomi wa hali ya juu na mhitimu wa sheria LL.B, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, hivyo ni mtu mwenye sifa za ziada kuliko hata
u DC!, hivyo mtu kama ana sifa hadi za ziada, huo upendeleo ni upendeleo gani?. Angekuwa hana sifa, akateuliwa hapo ungèjustify upendeleo, lakini mtu ana sifa, ulitaka ateuliwe nani?.
P
Tunahitaji
 
Mara ya mwisho ,nilisikia alikuwa na kesi,kuna kijana kwa Jina Alex ,mfanyakazi wa Mamlaka ya Maji Tabora,alimfungulia kesi ya Madai,kwa kumdhalilisha akiwa DC
 
Mkuu Kalulu, Kalulumila the Great, ucha kuleta ujuha kalulu!. Nafasi zote uteuzi ambazo mtu haombi kazi, mteuzi ana uhuru wa kumteua mtu yoyote kwa sababu yoyote, au bila sababu yoyote na uteuzi huu hauhojiwi na mamlaka yoyote!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Kwa wale wasiomjua mtajwa, ni msomi wa hali ya juu na mhitimu wa sheria LL.B, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, hivyo ni mtu mwenye sifa za ziada kuliko hata
u DC!, hivyo mtu kama ana sifa hadi za ziada, huo upendeleo ni upendeleo gani?. Angekuwa hana sifa, akateuliwa hapo ungèjustify upendeleo, lakini mtu ana sifa, ulitaka ateuliwe nani?.
P
Kiongozi ni mtu mwenye madaraka kwenye jamii. Kuwa na degree sio sababu ya kuteuana kisa tu mlifanya kazi Nyanza Coop
 
Huyo jamaa hatanisahau niliwahi kumpiga biti hakulala pale dom 3 siku hiyo alienda kwa form 5 wenzake halafu mi nilikua form 3
 
Kiongozi ni mtu mwenye madaraka kwenye jamii. Kuwa na degree sio sababu ya kuteuana kisa tu mlifanya kazi Nyanza Coop
Hebu vaa viatu vyake, baba is a friend, mtoto kichwa, kasoma shule nzuri, chuo kizuri, fani nzuri, kama ana sifa zote za kuteuliwa nisimteue kwasababu namjua baba yake?. Jee unajua kwanini Karume baba akaja Karume mtoto?, Kenyatta na Uhuru, Mzee Rukhsa na Dr. Mwinyi, Loraa Kabila na Joseph Kabila, subiri zamu ya Riz, ndio utaelewa!, huu tuuiteje?.
P
 
Mkuu Kalulu, Kalulumila the Great, acha kuleta ujuha kalulu hapa!. Nafasi zote uteuzi ambazo mtu haombi kazi, mteuzi ana uhuru wa kumteua mtu yoyote kwa sababu yoyote, au bila sababu yoyote na uteuzi huu hauhojiwi na mamlaka yoyote!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Kwa wale wasiomjua mtajwa, ni msomi wa hali ya juu na mhitimu wa sheria LL.B, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, hivyo ni mtu mwenye sifa za ziada kuliko hata
u DC!, hivyo mtu kama ana sifa hadi za ziada, huo upendeleo ni upendeleo gani?. Angekuwa hana sifa, akateuliwa hapo ungèjustify upendeleo, lakini mtu ana sifa, ulitaka ateuliwe nani?.
P
Pongoja obu hwahwa nyanda ni ubu romo romo ulingosha Ute nkema ubebe.
 
Hebu vaa viatu vyake, baba is a friend, mtoto kichwa, kasoma shule nzuri, chuo kizuri, fani nzuri, kama ana sifa zote za kuteuliwa nisimteue kwasababu namjua baba yake?. Jee unajua kwanini Karume baba akaja Karume mtoto?, Kenyatta na Uhuru, Mzee Rukhsa na Dr. Mwinyi, Loraa Kabila na Joseph Kabila, subiri zamu ya Riz, ndio utaelewa!, huu tuuiteje?.
P
Kwa akili yako timamu. Huyu dogo anafaa kuwa kiongozi? Usituletee umwinyi
 
Mkuu Kalulu, Kalulumila the Great, acha kuleta ujuha kalulu hapa!. Nafasi zote uteuzi ambazo mtu haombi kazi, mteuzi ana uhuru wa kumteua mtu yoyote kwa sababu yoyote, au bila sababu yoyote na uteuzi huu hauhojiwi na mamlaka yoyote!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Kwa wale wasiomjua mtajwa, ni msomi wa hali ya juu na mhitimu wa sheria LL.B, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, hivyo ni mtu mwenye sifa za ziada kuliko hata
u DC!, hivyo mtu kama ana sifa hadi za ziada, huo upendeleo ni upendeleo gani?. Angekuwa hana sifa, akateuliwa hapo ungèjustify upendeleo, lakini mtu ana sifa, ulitaka ateuliwe nani?.
P
Katiba ya kijinga kabisa, kwahiyo anaweza kuteua hata kichaa
 
Hatumuoni kwenye majukwaa ya CCM akirap.

Baba yake alifanya kazi na hayati Nyanza Coop Ltd na hapa ndio ikawa mwanya wa upendeleo.

Alichukiww na wanaunyanyembe sana. Hasa waswezi wa unyanyembe kwa dharau zake

Yule jamaa alikuwa zero. Angeendelea kukaa Tabora wangemshughulikia wananchi Bora alivytumbuliwa.
 
Hebu vaa viatu vyake, baba is a friend, mtoto kichwa, kasoma shule nzuri, chuo kizuri, fani nzuri, kama ana sifa zote za kuteuliwa nisimteue kwasababu namjua baba yake?. Jee unajua kwanini Karume baba akaja Karume mtoto?, Kenyatta na Uhuru, Mzee Rukhsa na Dr. Mwinyi, Loraa Kabila na Joseph Kabila, subiri zamu ya Riz, ndio utaelewa!, huu tuuiteje?.
P
Ndo atajua hajui yaani
 
Back
Top Bottom