Search results

  1. Lulu michael

    Ni miaka 15 sasa tangia nianze kunuka sehemu za huku chini

    kilichokuchekesha ni nini sasa ??
  2. Lulu michael

    Huu ndio uzuri wa wanawake wengi wasio na mvuto

    kwan huwez kucomment bila kum'quote' had inachosha!!!!
  3. Lulu michael

    Ulishawahi kusingiziwa kitu?

    mimi kuna mtu alinisingizia mambo mengi tu hiyo ni baada ya kumfuma kwenye tank langu anaiba maji na hapo tulikuwa tumenuniana nikaamua kumshtak kwa mwenye nyumba wacha anishuhudie uongo ambao hata sikuwah kuuona dunia hii kubwa zaid akanisingizia natembea na mumewe jaman wakat huyo kaka hata...
  4. Lulu michael

    Natafuta Mchumba wa hali kama yangu

    i wish ningekuwa na muda ningeutumia kupitia uzi huu huu kutoa elimu, ukimwi upo kwa sis tunaoudhuriaga clinic kila mwez tuna ona jins watu wanavyokuja wengine wakiwa katika hali mbaya, yan watu ni wengi ni wengi ni wengi chunga sana my dear usipate, kwa jins tulivyo weng wenye HIV sidhani kama...
  5. Lulu michael

    Natafuta Mchumba wa hali kama yangu

  6. Lulu michael

    Hongereni TBC kwa kuboresha muonekano

    Kwangu haitoi sauti ila Chanel zingine zote saut ipo Mh sijahangaika nayo mimi.
  7. Lulu michael

    Sina imani na NECTA kwa upande wa Private Candidate!

    Si kweli mkuu necta A wanatoa vizuri tu mbona mimi kuna somo nimesimanisha banda na umri wangu umeenda tu mana nilimaliza form four 2009 nikapata credit moja tu . Mwaka jana nikarisit nikapata A B B D D
  8. Lulu michael

    Natafuta HIV Positive

  9. Lulu michael

    Dawa ya asili ya kiungulia ni nini jamani?

    Mmmh nn ...kione kwanza...
  10. Lulu michael

    Dawa ya asili ya kiungulia ni nini jamani?

    Unawza kuona ushauri wangu wa masihara na kuudharau ila ndio msaada kwako....Kula karanga mbich kiasi kila unapohisi kiungulia, uje unipe feedback sawa?
  11. Lulu michael

    Dawa ya asili ya kiungulia ni nini jamani?

    Unaweza ona ushauri wangu ukaona ni wa masihara na kuudharau ila ndo msaada kwako jaribu kula kiasi kidogo cha karanga mbichi kila unapohisi kiungulia..afu uje unipe feedback
  12. Lulu michael

    Tiba mbadala imeniponza mwenzenu

    Pole sana inatokea sometimes kila mtu na damu yake na ndo mana hata kwenye dawa za madukan mi naweza nikatumia mseto nikapona malaria ila mwingine ukamdhuru na asipone kabisa. Pole tena.
  13. Lulu michael

    Msaada: Hata wa Ushauri tu, Mwenzenu hali Mbaya

    Subira yavuta heri ndugu yangu kupata kazi utapata ila ndo hivo uwe na subira...wapo wenye vibarua na wanaohitaji kuwasaidia wenzao subiri wajitokeze....
  14. Lulu michael

    Sms kutoka kwa X girlfriend wangu baada ya kuwa nimeachana naye.

    Haikuwa na ulazima wa wewe kumjibu coz mmeshaachana kila mtu alishachukua 50 zake....
Back
Top Bottom