Search results

  1. H

    Touareg petrol

    Asante mkuu kwa mawazo yako
  2. H

    Touareg petrol

    Ndio ni volkswagen
  3. H

    Touareg petrol

    Habari wakuu, Samahani, nahitaji kununua touareg ya petrol naomba msaada kwa wenye uzoefu nazo kujua uimara wake, upatikanaji wa spare, utengenezaji wake, uwepo wa mafundi na mengine mengi yanayohusu hizo gari. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  4. H

    Mashuka mashuka mashuka

    Picha nimetuma but hazifunguki sijui shida ni nn
  5. H

    Mashuka mashuka mashuka

    Mashuka
  6. H

    Mashuka mashuka mashuka

    Picha za mashuka
  7. H

    Mashuka mashuka mashuka

    Nashindwa ku upload picha sioni button
  8. H

    Mashuka mashuka mashuka

    Hiyo kumi kwa kumi ukiweka order utapata
  9. H

    Mashuka mashuka mashuka

    Mashuka makubwa mawili ya 6x6 na foronya nne
  10. H

    Mashuka mashuka mashuka

    Habari wakuu, nauza mashuka pure cotton mazuri sana na hayachuji, 35kwa pic 1ya 6*6na foronya mbili, na 70,000 kwa mashuka 6*6 na foronya nne. Karibuni sana
  11. H

    FAHAMU:Jinsi ya kujiunga vifurushi vyetu vya @VODACOM kwa haraka.

    Asante, naomba shortcut ya kujiunga Internet bundle kama ipo
  12. H

    Nishaurini kuhusu Nissan Pathfinder

    Habari za jioni wakuu, Ninafikiria kuigiza gari aina ya Nissan pathfinder Japan lakini kabla ya hapo naomba mnisaidie kujua kama haya magari yana matatizo na pia spare Zake upatikanaji na cost zikoje. Natanguliza shukrani za dhati
  13. H

    Nimemuagiza gari kaingia mitini, zawadi Tshs milioni 2 kwa atayefanikisha kupatikana

    Pole sana, kwa ushauri wangu peleka hiki suala mamlaka ya mawasiliano kwa Msaada Wa polisi mtrace number ambazo huyu jamaa alikuwa anawasiliana nazo closely ili muwakamate hao watu wasaidie kumpata huyo tapeli. Usisahau kuliweka hill suala mikononi mwa Mungu akusaidie kwa kila hatua
  14. H

    Pharmacy management system

    Habari wakuu, ninauza pharmacy management software kwa shillingi 1,500,000/= kwa atakayehitaji aniibox. Karibuni sana
  15. H

    Natafuta GDI

    Natafuta GDI milango 5 budget 5m
  16. H

    Natafuta GDI

    Natafuta GDI milango 5 budget 5m
  17. H

    Gari inauzwa Volkswagen Touran

    Picha ya mbele hiyo mkuu
  18. H

    Gari inauzwa Volkswagen Touran

    Volkwagen touran Ina cc 1590, viti 7, ac kali na iko kwenye hali nzuri sana. Bei mil 9.5 maelewano yapo. Karibuni sana
Back
Top Bottom