Mimi ni mtumishi wa umma nina account CRDB ,ni kweli mishahara inachelewa lkn siwezi kuacha kupitishia mshahara CRDB kwasababu ni nje ya nchi mali naTZ lakini naweza pesa yangu kupitia visa Card ya crdb lakini NMB hawana kadi za ATM unazoweza kutumia nje ya TZ. hata kuna benki nyingine huko...
Mto mada hafanyi promotion, ametaja NMB kwa sababu mishahara ya watumishi wote wa umma huwa inapitia NMB kabla ya kwenda benki nyingine.Hivyo hakuna benki nyingine ambayo itaweza kuanza kuweka mishahara ya watumishi wa umma kabla ya NMB.
Kawawa alipokuwa kiongozi wa shirikisho la wafanyakazi aliweza kusaidia harakati zakuleta uhuru kwa kuwahamasiha wafanyakazi kushiriki kuwang'oa wakoloni ndio maana JK anapata mchecheto na kumthumu Mgaya kuwa anatumiwa na wanasiasa.
Huu ushindi mtamu sana,ile kadi Ref was too harsh.Silverster asichezeshwe ataharibu kabisa.Song acheze na Campbell na Diaby acheze nafasi ya Song.kesho Liverpool 2 Manchester1
Ni vizuri kutumia majina haya ya ukoo/asili kwani yana kutambulisha.Kuna watu ambao asili yao ni Africa wanayatamani haya majina ,mfano Prof Maulana Kalenga & Jumbe Hodari.
Pole sana Mangi,unapaswa kumshukuru mungu kwa kukulinda muda wote huo,pia napenda kuwapongeza wana jf wote kwani wote waliochangia wameonesha wazi hisia zao jinsi walivyoguswa na yaliyokufika na wamejaribu kukusaidia kimawazo.Hapa mimi kweli nimefarijika na nieona kuwa hii ni sehemu ya uhakika...
Wakuu hii hata mimi imenikumbusha those good old days.Nilikuwa Milambo, disco la mchana likiwa T.girls ( Warsaw) wanaume siku nzima inakuwa maandalizi tu.Wale mabitozi tulikuwa hatupandi lori la shule, tulikuwa tunachanga pesa na kukodisha Cab,basi hapo watoto wa warsaw walikuwa wanatuzimia na...
Hii kampuni haikvurunda kitu.kampuni ilingia mkataba halali na iliwasilisha kiwango walichokubaliana sasa makosa yako wapi.Kama ni kuchemsha basi ni jiji.Jiji kabla ya kutoa kazi walipaswa kufanya utafiti kujua ni kiasigani kinapatikana .Kiasi hicho ndicho walipaswa kuwataka holding...
Maximo ,ameshindwa kazi.Wala hawezi kujisifia kuwa amelotoa soka la bongo kutoka wadi ya wagonjwa mahutihuti na kupeleka kwa wagonjwa wenye nafuu.Kilichafanya mabadiliko hayo ni jitihada za serikali na wadau kuweka mazingira mazuri kwa wachezaji.ikumbukwe mwaka 1980 mafanikio ya stars...
Wazungu huwa hawajali kukata.Jamaa yangu huku alikuwa na mtoto wake wa kiume ambaye alizaliwa bongo na hakuwahi kukatwa huko, alipofika huku akampeleka mtoto wake kwa daktari ili akatwe,yule daktari akamwambia usimkate haina shida yoyote anaweza kukaa hivi hivi.Hapa mimi nilishangaa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.