Search results

  1. N

    RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Hizi ni hisia za kisiasa ambazo hazina uhusiano na uhalisia. Ukiwa mfanyakazi bora, kazi yenye inakupigia promo. Maneno mengi ni upuuzi tu!
  2. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Halmashauri ya mji NANYAMBA, MKOA WA MTWARA nije wilaya ya KILOMBERO au WILAYA YOYOTE YA MKOA WA MOROGORO. Tuwasiliane 0716510219/0684229895 (IDARA YA SEKONDARI)
  3. N

    Kutoka Karimjee hall: Uchaguzi wa Meya Jiji la Dar es Salaam

    nini kinaendelea huko ukumbini?
  4. N

    Atakachoambulia Dr. Shein uchaguzi ukirudiwa Zanzibar

    huu ndio mtihani mkubwa kwa utendaji kazi wa magufuli
  5. N

    Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

    it wil never happen in ARUSHA maybe somewhere else.
  6. N

    Ni kosa kubwa sana (A GRAVE MISTAKE) kwa CCM kutofungia kampeni Dar

    ccm imekwenda kujichimbia kaburi lake yenyewe kule mwanza.
  7. N

    Mama Lowassa avunja ngome za CCM Mwanza

    tuombe kwa mola atuletee ukombozi.
  8. N

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Mwanadamu hawezi kuingia mipango ya MUNGU, katika uchaguzi huu muumba wetu alipanga yatokee hayo, ingawa sisi hatukujua lakini ilikuwa mipango yake ya sirini. Kuna siku nilipata maono kuwa watakufa wanasiasa wanaogombea ubunge wapatao sita (6). Naamini Filikunjombe ametimiza idadi hiyo...
  9. N

    Gharama walizotumia CCM kuwalipa Wanamuziki

    hatuna jinsi tutamchagua LOWASSA tu.
  10. N

    Ninapoitafakari Tanzania na Watanzania chini ya utawala wa CCM

    Nilizaliwa katika awamu ya pili ya uongozi wa muasisi wa nchi yetu. Nyerere amemaliza utawala wake mwaka 1985 nikiwa na uwezo wa kubaini baya na zuri. Utawaka wa awamu ya kwanza ulikuwa wa kizalendo. Chama cha mapinduzi kilikuwa kweli ni mali ya wakulima na wafanyakazi. Awamu ya mzee A.H...
  11. N

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    CCM ni dhaifu, imeshindwa kazi. Haitoi matumaini tena kwa Mtanzania mlalahoi. Angalia wanaoipigania kwa nguvu ni wale walionufaika na ufisadi wa CCM na wanapigana kufa na kupona ili makaburi yao yasifukuliwe. Shime Mtanzania jitambue usiipe kura yako CCM kamwe kwani hata huyo Magufuli...
  12. N

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    tunayasubiri mabadiliko kwa hamu kubwa.
  13. N

    Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

    wakilipa tutawashukuru lakini kura ni siri yetu tutajua tumpe nani.
  14. N

    Mafuta ya Petroli yameshuka kuliko maelezo

    huku kitaani kwangu ni 2600 per litre!
  15. N

    CCM kupita bila kupingwa baadhi ya Majimbo na hamta amini

    kuna mshenzi mmoja kaitia mtwara dosari!
  16. N

    CCM kwa haya tumewadharau sana Walimu

    mimi simo, sitaichagua ccm kamwe!
  17. N

    M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

    nadhani hata JK anajiandaa kuhamia CHADEMA! Duh.
  18. N

    Siku upinzani ukichukua nchi ....

    Ndugu wanaJf ninatamka kutoka moyoni mwangu, kwa sababu ya furaha nitakayokuwa nayo siku upinzani ukiingia ikulu, nitaomba ruhusa ya siku saba (7) kwa ajili ya kuusherehekea ushindi. Nitafanya hivyo kwa vile nina hamu kubwa isiyoelezeka ya mabadiliko. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI UKAWA.
  19. N

    Msimamo wangu: Nitabakia UKAWA na kura yangu itaenda UKAWA

    wamemnunua shehe hawakununua waumini!
Back
Top Bottom