Search results

  1. M

    Jamani hii tabia au ni hulka kwa Wababa!!!

    Ujinga si kutokwenda shule,wengi wamekwenda shule kutalii tuu wala hawajaelimika hivyo wakijibu utumbo wewe vumilia mkuu!
  2. M

    Video: Nyerere Asema Ana Haki ya Kuwa Dictator

    Huyo jamaa ameshakufa,nyie mwatoana macho kwanini?
  3. M

    Hii ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania!

    Majimaji wateremshwe daraja
  4. M

    Nipeni Ushauri mwanana

    Nashukuru sana kwa ushauri nasaha ulizonipatia,kwakweli pressure huwa inapanda sana ninapoona timu yangu ikifungwa tena kizembe,nitajitahidi kuachana na mambo hayo ya ushabiki nadhani nitafanikiwa.Ahsanteni sana.
  5. M

    Nipeni Ushauri mwanana

    Mimi ni mshabiki mkubwa wa Dar es salaam Young African ya Tanzania pamoja na Liverpool Fc ya England.Kutokana na mwenendo mzima wa timu ninazozishabikia naona upo umuhimu wa kutuliza mawazo kwa kuchagua kwa muda timu zingine zinazofanya vizuri katika mashindano mbalimbali kwani 'kama mtu anaweza...
  6. M

    Mawaziri wenye PhD Feki hawa hapa!

    Dr.Remmy Ongara,Dr.Matunge,Dr.Majimarefu nk wote wanafanana na hao.Teeeee teeee teeendio nchi yetu hiyo jamani
  7. M

    Anusurika Kwenye Ajali, Afariki Kanisani Akimshukuru Mungu

    Nadhani huko hayuko mungu wa kweli!Mungu wa kweli ni lazima angemwokoa!ahaaa,ahaa,ahaa.Tokeni huko mnaona wenyewe bado mnang'ang'ania uraia wa roma.
  8. M

    Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

    Ni wazo zuri sana lakini ingekuwa vizuri zaidi kama wasahauri wa raisi wange jaribu kuomba ushauri kwa wananchi kabla ya kumuweka raisi runingani na watu wakamuuliza maswali,ninachokiamini,wapo wana nchi wenye uwezo mkubwa wa kumshauri raisi kuliko ninyi mlioteuliwa kwa sasa.kwa kuwa hata nyie...
  9. M

    Pengo: Nchi imeoza!

    Nikweli unachosema Pengo naomba utupe mwongozo,ukizingatia chanzo chaufisadi,uwajue mafisadi ni nani,pia uanzie humo ndani ya kanisa kuwa fichua nautangaze kabisa.watu wamtanbue ndani ya kanisa,kama kanisa mpaka leo sijasikia mkimtenga muumini kwa kuwa fisadi inakuwa vipi unatangaza una pingana...
  10. M

    Rais Karume Ajipanga Kujiongezea Muda Madarakani

    huko ni kuchekesha watu wamezaliwa katika maeneo hayo wame kulia hapo leo mnawadai vitambulisho ili waandikishwe kwannini hamkuanza kutoa hivyo vitambulisho au kufanya tu sensa ndogo ya kujua nani ana cheti cha kuzaliwa na nani hana ili itakapofika katika zoezi hili iwe rahisi.leo mnawasumbua...
  11. M

    Kinondoni kutawala nchi si sahihi

    tatizo siyo kuwa wakazi wa kinondoni,tatizo baada ya kuwa viongozi wanafanya juhudi gani za kuendelezamaeneo mengine hasa ya maeneo yao wanakotoka?
  12. M

    Toyota Pick Up inauzwa...

    weka picha tuione.
  13. M

    BAKWATA: Hatuutambui waraka wa Waislamu

    ina maana viongozi wa dini kazi ya uchungaji ime washinda? nianacho kifahamu ni hiki ikiwa mtaweza kuwalingania waumini wenu kuwa wanyenye kevu kila siku wanapotoka kwenye mikusanyiko ya ibada ingetosha kabisa kuya maliza haya.ni ajabu sasa viongozi wa dini mmeacha kabisa mambo ya dini mna...
  14. M

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    kujitoa kwa zitto kuna onesha jinsi gani ame komaa kisiasa
  15. M

    Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes

    Mwanahalisi wamefulia tuu
  16. M

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Kibanda sijuhi cha nyasi au mabua!Acha ujinga hapa inaonekana wazi tatizo ni ukabila kwavile Zitto hatoki kaskazini,acha hizo.Mpiganaji Zitto endeleza mapambano ndani na nje ya Chadema,kura yangu ipo palepale tarehe 4/9/2009 tunataka utuongoze kuanzia Chadema hadi Taifa.
  17. M

    Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes

    jaribu kutoa habari zenye uhakika zingatia sana vyanzo vya habari usipotoshe jamii kuwa mwangalifu.
  18. M

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    hapana ni mapema sana kusema hivyo nadhani killa mwanachama nihi yake ya msingi kugombea cheo chochote katika chama.wanaojitokeza katika kugombea kwanza inabidi wapongezwe,hii siyo tu kuleta ushindani ndani ya chama bali pia kukiimalisha chama.
  19. M

    Twanga Pepeta/Muumini?

    Kwani wewe ulikuwa hujamfahamu?Huyo ni Manka bwana!te te teh
Back
Top Bottom