Search results

  1. HKBW

    Kuna haja ya TCRA kuendelea kuwepo?

    Nimejaribu kuelewa kile TCRA walichokieleza kwa waandishi wa habari na nimebakia na swali kama bado wana haja ya kuwepo au lah! Malalamiko ya wananchi na majibu waliotoa ni tofauti kabisa. Najiuliza ni kwa nini hasa wanafanya hivi, kwakuwa wanatudharau na kujua hatuna cha kufanya. Au kuna kitu...
  2. HKBW

    Kitu tunachopaswa Kukiogopa ni woga wenyewe

    “The only thing we have to fear is fear itself.” Those were the famous words of Franklin Delano Roosevelt, spoken at his first inauguration on March 4, 1933, at the height of the Great Depression. "Kitu tunachopaswa kukiogopa ni kuogopa kwenyewe" Hayo ni maneno maarufu ya rais wa Marekani...
  3. HKBW

    Msaada Kupata Softcopy ya Rasimu ya Katiba ya Bunge Maalum

    Naamini humu ndani kuna wadau wenye uwezo wa kusaidia kupatikana kwa softcopy ya rasimu ya katiba iliyotengenezwa na Bunge Maalumu ili tuanze kuingalia kwa umakini na kujua kama inafaa kura HAPANA au NDIO. Maana maneno matupu hayavunji mfupa. :peep:
  4. HKBW

    Tuungane Kuwasilisha Shinikizo letu Bungeni kwa kusaini petition ya Kilio cha Madaktari

    Nchi yetu imekumbwa na matatizo mengi hivi karibuni na tegemeo letu kwa kiasi kikubwa limekuwa juu ya wawakilishi wetu tuliowachagua kutuongoza na kututekelezea yale yanayoweza kuijenga Tanzania yetu kwa manufaa ya watanzania wote. Watanzania kwa kiasi kikubwa ni watu wa amani na uzalendo...
Back
Top Bottom