Search results

  1. P

    Msaada wa dawa ya magonjywa ya kuambukiza (STDs)

    Mwenye kufahamu dawa madhubuti ya STDs (magonjwa ya kuambukiza) kama Kaswende, UTI na mengineyo anisaidie.
  2. P

    Tatizo la kushindwa kutoa haja ndogo

    Msaada wadau nimekuwa nikibanwa mkojo kwa muda mrefu bt unfortunately nikitaka kukojoa mkojo hautoki, unakua unauma tu lakini hautoki. Mwenye ufahamu wa hili msaada tafadhali.
  3. P

    Msaada tafadhali...

    Habar ya asubuh ndugu zangu.....jaman mwenye kufahamu kuhusu upatikanaji wa kazi ya ualimu ngazi ya stashahada na cheti(walimu wa vyuo hivi,government lakin)...anifahamishe tafadhali
  4. P

    Manispaa ya shinyanga mjin kwanini hamtaki kuwamalizia walimu wapya stahiki zao..?

    Toka mlivowapa pesa ya kujikim ya cku 4,cku ya tar 2/4 mpaka leo kimya,nauli zao hamjawapa na pesa yao ya cku 3...mnategemea waish vp hawa watumish wetu uku ugenin..?kuwen wastaarabu
  5. P

    Manispaa ya Shinyanga mjini pesa za kujikimu na nauli za Walimu wapya ziko wapi?

    Cku ya kwanza kuripoti afisa utumishi wa manispaa aliwaambia walimu wapya waliopangiwa shy manispaaa kwamba watapewa pesa ya cku 4,coz govt imetuma pesa nusu,wakapewa pesa ya cku 4 cku ya tar 2/4..just imagine watu ni wagen shy,watalala wapp,watakula nn ugenin....tafadhal wapen pesa zao...
  6. P

    Scholarship wizara ya science

    Wadau mwenye taarifa za kina kuhusu scholarship za china zinazotolewa na hii wizara anifahamishe kama tayar zishatolewa..asanten
  7. P

    Nampenda Fatma Shimweta

    Ni mtangazaji wa Star tv, Anaitwa Fatma Shimweta. dah nakapenda haka kadada jamani mie. Mwenye more detail zake aziweke hapa wadau.
  8. P

    Yanga bana....

    Wakati wapinzan wa yanga national al ahly waki2ma wawakilishi kuja kutazama mech kati ya yanga na hao wa comoro,klabu ya yanga imethibisha kua haiwezi kutuma watu wake wa ufundi kwenda kuwatazama wapinzan wao wanavocheza,badala yake wanaomba ubalozi wa tz nchin misri na baadhi ya wa tz waishio...
  9. P

    Utaratibu gan huu wa bunge letu..?

    Subakher wakuu,, kuna katabia kwa wabunge wetu wawapo bungeni,mbunge kasimama anachangia hoja,lakin unakuta wabunge wengine wamesimama,wengine wanatoka nje,wengine wanapiga story..yan bunge linakua ka daraa la chekechea wadau..wahucka waliangalie hili coz ile ni place ya heshma,ustaarabu ni ki2...
  10. P

    Natafuta kazi ya ualimu katika vyuo vya ualimu...

    Mimi ni mhitimu wa bachelor of education psychology mwaka huu,natafuta kazi ya ualim vyuon..Mwenye kufahamu tuwasiliane tafadhali....
Back
Top Bottom