Kama Yeye ni Super Power kwani asiende peke yake, au amwambie shoga yake Israel apigane na Yemen si kila kukicha Yemen anampiga Israel na kuteka Meli zake, kwanini anafata Gulf Country, Kwa nini?
Tukiwambia Israel hana lolote anakuzwa na Viongozi wa kiarabu na US kwa faida zao tu.
Yemen ni...
Israel wapo hatarini kufa na njaa nchi nyingi zimeogopa peleka meli sababu katangaza official yupo vitan.
Wengine wanaogopa peleka meli sababu Insurance imepandisha bei na wengine wanaogopa Hamasi asizipige hizo meli.
Unambiwa ma supermarket vitu hamna na kama vipo bei yake ni kubwa sana...
MiG-31, ambayo ilifanya majaribio yake ya kwanza mnamo 1975, bado inawatia wasiwasi wataalamu wa kijeshi wa Western Military Watch imeripoti.
Urusi haikuwahi kuza ndege hii, ndiyo sababu nchi za Western hazijaweza kufichua siri za MiG-31.
Ndege ambayo technology yake ya kisasa zaidi, kwa...
A powerful explosion took place on Tuesday at a sensitive defense factory during a test in central Israel. There are so far no reports of casualties.
The explosion occurred during a 'routine test' by the Tomer factory for advanced weapons, which develops rocket engines, the Ofek satellite...
Habari ya video ni kwa kiarabu lakini tazameni muone Hezbullah inavyo mdharaulisha Israel. Tv ya Urusi imeingia mpaa ndani ya camp yao na kurecords aibu, yani wamewachaa mpaa silaha na menginewe.
Afu tazameni majani yalio unguwa upande wa Lebanon ndipo Israel walipo piga mizinga yao 😁
حسن نصرالله ضغط “زر الحرب” وصواريخ حزب الله أمطرت قاعدة إسرائيلية عسكرية وهذا رد نتنياهو
قصف متبادل
رد حزب الله اللبناني اليوم، الأحد، على العدوان الإسرائيلي الأخير باستهداف قاعدة عسكرية إسرائيلية قرب مستوطنة أفيفيم
Hezbollah fires anti-tank missiles at IDF base, vehicles in north
IDF returns...
Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah alisema kwamba ghasia za Israeli katika mji wa Aqraba, kusini mwa Damaski, ulilenga nyumba ambayo vijana wa Lebanon wa Hezbollah walipumzika na wafia imani wawili walianguka.
Katika hotuba iliyoashiria kuadhimisha miaka ya pili ya ukombozi wa Al-Jaroud...
Wanaume wapo kazini
Iran Unveils Domestic Long-Range Missile System: Bavar-373
7 hours ago August 22, 2019
Iran - Live News - Middle East - News - Top
Iran on Thursday unveiled a state-of-the-art long-range air defense missile system dubbed “Bavar-373”, which has been completely...
Iran has intercontinental drones, will use them if necessary: Navy chief
Tue Jul 23, 2019 09:06AM [Updated: Tue Jul 23, 2019 09:29AM ]
Home
Iran
Defence
This combination of image grabs created from a video broadcast by Iran’s Islamic Revolution Guard Corps (IRGC) on July 19, 2019 shows footage...
Trump anasema haina haja USA wabaki Persian Gulf, na kila nchi ijitegemea kulinda meli zao wenyewe.
ترامب وضع “مبز ومبس” في المواجهة وهرب: لا حاجة لنا للبقاء في الخليج وعلى الدول حماية سفنها بنفسها
دونالد ترامب
قال الرئيس الأميركي دونالد ترامب في أحدث تصريحاته بشأن الصراع في منطقة الخليج، إن...
US cyber attacks on Iranian missile systems failed: Minister
Mon Jun 24, 2019 05:02AM [Updated: Mon Jun 24, 2019 06:30AM ]
Home
Iran
Politics
Iranians visit a weaponry and military equipment exhibition in the capital Tehran, on February 2, 2019. (Photo by AFP)
Iran says the recent US cyber...
Mheshimiwa maarufu, "Mujtahid," katika Twitter yake vyanzo vya kunukuu vilivyoelezewa na Wizara ya Ulinzi ya Saudi, alisema kuwa Marekani sasa imewaomba Saud Arabia kuandaa maeneo ya kijeshi ya Saudi kutumikia Amerika katika mapambano ya karibu.
Inasemekana USA atashambulia Iran kama sehemu...
Israel anaomba warabu wamsaidie iliwapigane na Iran. Waziri wa majeshi ya Israel anasema Saud Arabia ijitokeze pamoja na Gulf state. Anasema ni USA, Israel na Gulf state(Saud Arabia, UAE na Baharain ) ndio zimekubaliana na Trump kujitoa kwenye mkataba wa Nuclear.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.