Search results

  1. W

    Mwaonaje hizi ndoa tungekuwa tunaishi mbalimbali?

    Kuna kakangu mmoja alisema kuwa anampenda sana mkewe na watoto ila kuna vikero vidogo vidogo anahisi visigekuwapo kama wangekuwa wanaishi mbali na wifi ,sio kwa kumchukia au kwa kukwepa majukumu ila kupeana nafasi kidogo na demokrasia zaidi lakini hakuna kuzini,mwaionaje hii wakuu wa jamvi!
  2. W

    Mwanamume asipomaliza

    Salamu wana jmvi, Hebu nijuzeni ,kunako sita kwa sita ikatokea bwana mzee kapanda kilima kabla hajafika uhuru peak hasa kama inabidi awithdraw na akashindwa kufika kabisa akaambulia premature ejaculation ,madhara yake ni nini? msongo wa mawazo,frustration ?na mnaionaje withdrawal kama birth...
  3. W

    milipuko kigamboni

    Jamani wana jamvi mu salama,hakukuwa salama kigamboni asubuhi ya leo kioski cha kuuza gesi kimelipuka na kuleta kizaazaa.kiosk chenyewe kinaangaliana na petrol station,mungu bariki kituo cha mafuta kimesalimika .milipuko ya miyungi ya gesi kwa hakika ilitisha,sisi tulifikiri mambo ya mbagala
  4. W

    hodihodi

    hi wanajamii, wakubwa shkamoo ,wadogo marahaba,nimejiunga nanyi rasmi .
Back
Top Bottom