milipuko kigamboni

WONDERWOMAN

Member
Jul 21, 2009
79
15
Jamani wana jamvi mu salama,hakukuwa salama kigamboni asubuhi ya leo
kioski cha kuuza gesi kimelipuka na kuleta kizaazaa.kiosk chenyewe kinaangaliana na petrol station,mungu bariki kituo cha mafuta kimesalimika .milipuko ya miyungi ya gesi kwa hakika ilitisha,sisi tulifikiri mambo ya mbagala
 
Poleni wanakigamboni na miundo mbinu dhaifu tuliyonayo pangekuwa patashika,Mungu pishilia mbali majanga haya
 
Ni changamoto kwa mamlaka husika kuweka usalama zaidi katika uuzaji wa gesi ili kukinga milipuko kama ya leo.
 
Back
Top Bottom