Search results

  1. M

    Jamani madenge anakoelekea ni pabaya

    mi nilisikia akisema eti KKKT kirefu chake ni Kibaka Kaiba Kuku Tandale.
  2. M

    Lipi jina "wabunge wa bunge la katiba" au "wajumbe wa bunge la katiba"

    mi nadhani ni vema wakaitwa "WADAI POSHO WA BUNGE LA KATIBA"
  3. M

    UDOM.....updates info..!

    the long wait..................
  4. M

    Kung'ara kwa E. Lowassa ndani ya CCM ni pigo la Mwaka kwa Nape Nnauye!

    nape is physically young but mentally old.
  5. M

    nimeitwa kwa ajili ya kupima afya kwa wale tuliofanya usaili polisi kitengo cha teknohama.

    jioni ya leo nimetumiwa ujumbe mfupi na afisa wa jeshi la polisi makao makuu kunijulisha kwamba natakiwa kuhudhuria vipimo vya afya ktk hospitali ya polisi kilwa road dar es salaam.
  6. M

    Usaili police garduate

    nawasalimu wanajamvi, je kuna yeyote mwenye update za matokeo ya usaili uliofanyika pale DIT kwa watu wa ICT?
  7. M

    matokeo usaili wa DIT.

    namaanisha usaili wa jeshi la polisi uliofanyika DIT.
  8. M

    matokeo usaili wa DIT.

    wanajamii ninauliza kama kuna aliyeitwa baada ya ule usaili wa DIT kwa graduate wa ICT, mwenye taarifa atajuze hapa jamvini.
  9. M

    Kwa graduate waliotwa kufanya vipimo Polisi

    unauliza swali au unatoa taarifa?
  10. M

    Kuna haja ya chenji?....

    cheenji ni muhimu, itasaidia kununulia sanda na vi tu vidogo vidogo msibani.
  11. M

    Tanzania police force

    yap kwa maelezo yaliyokuwepo kwenye sms waliyonitumia walisema majina yapo kwenye tovuti yao. nikaingia sikuyakuta, nikaenda wizara ya mambo ya ndani. nikakutana na ofisa wa ICT wa jeshi la polisi,akaniambia wameshindwa kuyaweka majina hayo kwenye mtandao kutokana na hitilafu kwenye server yao...
  12. M

    Tanzania police force

    mie niliapply mwezi wa saba, leo nimetumiwa sms ya kwenda kwenye usaili pale DIT wiki ijayo. wamesema majina yote yapo kwenye tovuti yao ; www.policeforce.go.tz.
  13. M

    tcaa writing interview

    Mimi mwenyewe niliomba ila bado kimya.
  14. M

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Ukiona gamba JK anasoma risala sehemu wafuate mmoja kati ya wale jamaa karibu yake ambao masikioni wameweka vifaa vya mawasiliano.ongea nao fresh watakupa mchongo. Mi nipo huko lakini nipo na msanii mtoto wa mkulima.ila uwe ni mnafiki haswa,mmbea vilivyo na damu yako ikichanjwa iwe ya kijani...
  15. M

    Udom

    Mhh! Mi mwenyewe nifanya ile ya kuandika.ila mpaka sasa sijasikia kama wameita awamu ya pili.labda mwenye taarifu atujuze hapa jamvini.
  16. M

    List ya recruitment agencies Tanzania

    Email yangu ni izeygm@yahoo.com naomba unitumie hiyo spread sheet mdau.
  17. M

    Uhalali wa mtoto wa mkulima kuwa PM

    Baada ya kuisoma katiba yetu feki na chakavu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,nimegundua kwamba waziri mkuu mizengo pinda hana vigezo vya kuwa katika wadhifa huo kwa mujibu wa katiba yetu. Kwanza na kimsingi,katiba inasema kwamba waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa kutoka ktk...
  18. M

    Mustakabali wa Taifa letu uko mikononi mwetu

    Ninasikitishwa kuona serikali iliyopewa ridhaa kwa niaba ya wananchi inayatolea maamuzi mepesi mambo ambayo yanagusa maisha ya watanzania walio wengi. Tulianza na uhaba wa umeme,tukapigwa danadana.Na sasa limekuja suala la mafuta,serikali inatoa kauli zisizo na mashiko.
  19. M

    Ni halali DOWANS kuuzwa kesi ingali mahakamani?

    Bado ningali na kigugumizi na sintofahamu baada ya kampuni ya kimarekani symbion kununua mitambo ya dowans.Ninachofahamu,kwa mujibu wa utaratibu wa kimahakama,shauri lolote lililo mahakamani hakuna mtu wala taasisi inayoruhusiwa kulizungumzia wala kuendesha mchakato wowote.kama ni hivyo,kwanini...
Back
Top Bottom