matokeo usaili wa DIT.

Mwamatandala

Member
Jul 17, 2009
44
3
wanajamii ninauliza kama kuna aliyeitwa baada ya ule usaili wa DIT kwa graduate wa ICT, mwenye taarifa atajuze hapa jamvini.
 
Kaka funguka ndugu yangu, hapa kuna watu wanapambana kutafuta kazi na wengine wanapambana kupata vyuo.Sasa unamaanisha kazi ya IT Administrator iliyotangazwa kupitia Sevretariat ya Ajira au unazungumzia usaili wa kujiunga na chuo kwa ajili ya masomo ya undergraduate?
 
Back
Top Bottom