Boss tuendelee watu wengi wanafatilia story yako believe me
Hao wanao kusumbua ni wachache sana alafu wanakukubali kiaina
Ukipata muda tupia endelea na mambo yako usijibishane nao
Hujakutana tu na mtu kichwa chake kama changu ungekuwa umeo long time,watu watata kama nyie mnafaa mpate watu akili zimechangamka sio huyo unae muonea hapo
Yani mimi nashangaa watu kulaumu humu sisi tumechapwa zaidi ya hivyo na hakukua na shida
Kwanza mimi nisingechapwa nisingekuwa nilipo
Walimu acheni kujipendekeza fanyeni kazi ya kufundisha tu acheni wazazi wadeal na mitoto yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.