Search results

  1. M

    Waliosoma Narumu Sec School, MPO?

    Yeyote kama yumo ndani ya jamvi aliyesoma kipindi hicho au hivi karibuni atujuze matokeo na maendeleo kwa ujumla. Kipindi cha 1990, tulikuwa 25 tuliofanya mtihani wa taifa wa IV. Je miliofuatia mlikuwa mnaongezeka au shule imeboronga kabisa? Asanteni.
  2. M

    Kibali cha kufanya maandamano matukufu

    First of all i am apologising on the name of holy name of JF sitarudia tena in using undisqulified language which i used involunterily Haya wanajamii niliingia hapa JF yapata mwaka sasa bila ya kuomba ukaribisho. pia hivi majuzi nilighafilika nikafungiwa kuingia janmvini kwa sasa nimepata...
  3. M

    Chuo cha kiswahili-Kozi fupi taaluma, Ukalimani.

    Ndugu wana JF Hbari za hapa nyumbani natumaini wote wazima wa afya. Wandugu, nina swali langu kwamba ni chuo gani kinachojulikana kitaifa / kimataifa au nikionyesha cheti cha ukalimani kikubalike huku ughaibuni? Kwa ujumla ninahitaji kozi fupi, pengine UDSM na ni kwa muda gani? Msaada wenu...
  4. M

    Kwanini pete ya ndoa huvaliwa mkono wa kushoto kidole cha pili kutoka cha mwisho?

    Wanajamii kama siyo kuirudisha hii hoja basi naomba msaada katika hili. Ni kwa nini pete yando huvaliwa mkono wa kushoto kidole chapili kutoka cha mwisho?? Lugha yaweza ikawa kikwazo lakini ujumbe unaejieleza. Thak you.
Back
Top Bottom