Kwanini pete ya ndoa huvaliwa mkono wa kushoto kidole cha pili kutoka cha mwisho?

Malyamungu

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
363
12
Wanajamii kama siyo kuirudisha hii hoja basi naomba msaada katika hili.

Ni kwa nini pete yando huvaliwa mkono wa kushoto kidole chapili kutoka cha mwisho??

Lugha yaweza ikawa kikwazo lakini ujumbe unaejieleza.
Thak you.
 
Wanajukwaaa hili la Mahusiano,

Kama tittle inavyosema kiukweli mimi binafsi sijui ni kwanini ipo hivi.Kwahiyo kama kuna ukweli wa aina yoyote kuhusu hili naomba nijuzwe kwa faida yangu na ya wengi pia .

Kwani mkono wa kulia una nini mpaka watumie wa kushoto na kwanini ni kidole cha pili kutoka mwisho yani kutoka kile kidole kidogo.

Naomba wale manguli wa mahusiano na wenye uelewa mpana kuhusu hili mtujuze sisi ambao hatufahamu

ASANTE
 
Oky ...ni kwamba mkono wa kushoto kidole cha pili kutoka mwisho kuna mfupa maalumu ambao umeunganishwa na moyo ..ambapo moyo ndio tunaamini unatumika katika mapenzi/kupenda so kuna connection moja kwa moja kutoka kwenye moyo na kidole cha pete
 
Mhh! Wewe Jamaa, jibu lako hata sikulitegemea, yaani lipo kiundani na kitaalamu zaidi. Kama hautajali ufafanue zaidi, ama kama wapo wanaojua zaidi watujuze.
Ahsante!
 
Oky ...ni kwamba mkono wa kushoto kidole cha pili kutoka mwisho kuna mfupa maalumu ambao umeunganishwa na moyo ..ambapo moyo ndio tunaamini unatumika katika mapenzi/kupenda so kuna connection moja kwa moja kutoka kwenye moyo na kidole cha pete

Aisee kama ndivyo iko poa sana sikutegemea jibu kama hilo asante sana
 
Back
Top Bottom