Search results

  1. Ponjoro

    Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

    "11 wafutiwa mashtaka na DPP..." Huwa kuna vigezo vinawasilishwa sehemu ili uweze kufutiwa mashtaka au inakuwaje? Mamlaka ya DPP huwa yanatekelezwaje? Kuna wa kumuhoji DPP...? Lengo langu kubwa nieleweshwe...
  2. Ponjoro

    Playlist ya nyimbo za kusikiliza wakati wa kugegedana

    https://jamii.app/JFUserGuide her gently by Tenacious D
  3. Ponjoro

    Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Halafu wewe unapomfumania mwenza wako, kosa linakuwa si la uliyemkuta naye bali nk la mwenzawako maana yeye ndiye mmefunga naye mkataba wa kuishi pamoja kwenye shida na raha! Ni yeye ndiyo kaenda kinyume na mkataba na kukusaliti...mchawi ni mwenzawako na si mwingine!!! Tena wakuta alijinadi kwa...
  4. Ponjoro

    Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Mgoni adhabu yake huwa ni kutozwa faini, na faini hiyo huwa ni ndogo haifiki hata laki moja, mara ya mwisho ilikuwa 50 elfu...sasa mlawiti mtu uone cha mtema kuni!!!
  5. Ponjoro

    Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

    Endelea mkuu... Kanungila Karim
  6. Ponjoro

    Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

    Mbona kama Yasmin ndiyo anawasnitch hawa majamaa???
  7. Ponjoro

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Vitabu vya dini huwa na lugha ya picha sana...kuna vitu waweza elewa tofauti kabisa na kinachokusudiwa! Hayo yapo kwenye Bible na Quran pia...hivyo, hapo pana lugha ya picha ila kwa bahati mbaya mimi nimeshindwa Kung'amua!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ponjoro

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Newala mji-Mtwara, nije Lindi mjini!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ponjoro

    Niimembusu dada wa kazi wa nyumbani kwangu, mke wangu nisaidie...

    Wewe jamaa unafurahisha sana...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]
  10. Ponjoro

    Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

    Charger ya smartphone inayojaza simu kwa muda mfupi! Inauzwaje?
  11. Ponjoro

    Mashine ndogo ya kusaga vitu vikavu, karanga, viungo, unga wa lishe nk

    Mtoa mada ungetupia picha ya nafaka zilizosagwa na hiyo machine...pia katika hiyo picha, mashine ionekane pembeni yake!
  12. Ponjoro

    Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

    Naomba unieleweshe vizuri mkuu...maana ulivyotaja laki moja! Umenishawishi...
  13. Ponjoro

    ZANU-PF kumfukuza uanachama Robert Gabriel Mugabe kesho tarehe 19.11.2017

    Tatizo lake bwana Robert ni kuhisi nchi ni ya kwake peke yake na wananchi wengine ni wapangaji...haya sasa mwenye nyumba anataka kupewa notsi!!! Sisi majirani zake, yetu macho!!!
  14. Ponjoro

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Naomba mnisaidie na decoder pin pia...
  15. Ponjoro

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Ninahitaji msaada! Nililipia kifurushi cha nyota...cha kushangaza sipati channeli ya ndani hata moja! Natumia dishi, namba ya king'amuzi 01819174472
  16. Ponjoro

    Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

    Usije msababisha jamaa akaliwa elfu 10 yake...maana umemwambia kuna mechi uamuzi wake utakuwa na matatizo!!!
  17. Ponjoro

    Mshahara wa mwezi Septemba kwa Watumishi wa Umma...

    Gharama za maisha zinaongezeka kila siku hasa kwenye vyakula...nyongeza hakuna! Hivyo, mshahara lazima upungue uzito...
Back
Top Bottom