Search results

  1. I

    Natafuta mkopo

    Nahaitaji sana mkopo wa one million narudisha ndani ya miezi miwili kwa riba ya laki na nusu jamani nisaidieni nimlipie wife ada
  2. I

    Mzee wa upako

    Nilikuwa naangalia kipindi cha huyu bwana sasa yeye mahubiri yake mengi stori nyingi, kuhimiza watu kutoa sadaka na kuponda wahubiri wenzake kama kakobe na mama lwakatare mpaka anamwita mama wa misukule fake sasa naomba historia ya huyu bwana kwa mtu anaeijua vizuri
  3. I

    Natafuta daktari bingwa

    Habari wana jamii forum mimi natafuta daktari bingwa hapa dar wa magonjwa ya zinaa maana naumwa sana na nimetibiwa siponi nimepima kila kitu mpaka ngoma sasa naona labda nianze na dr mpya na ujuzi mpya naombeni msaada gharama sio shida ntalipa email yangu:bulongwa@yahoo.com
  4. I

    mambo vipi

    jamii hajambo?naombeni sana ushirikiano wenu humu jamvini
Back
Top Bottom