Search results

  1. yuclighty

    Tabia za wanaume kutoka makabila haya 20

    Aaah wapi jamani ni woga sana ingawa na umalaya wanao. Kuna mmoja alinitongoza kwa woga sana, yaani ikifika saa tatu eti mimi nalala naogopa. Kha!!
  2. yuclighty

    Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

    🤣🤣🤣🤣🤣
  3. yuclighty

    Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

    kuna biashara ningekushauri lkini kwa experience hiyo ngoja kwanza
  4. yuclighty

    Nani adui wa vijana katika Kujiajiri. Ni Uthubutu, Serikali, au Malezi na Mazingira?

    Tatizo ni uthubutu tu!. Watu wanashindwa kuchukua hatua katika maamuzi mengine kama biashara, kilimo nk. Wanachotaka ni ajira tu. Pooole kijana mwenzangu.
  5. yuclighty

    Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi

    Katika jukwa hilihili kuna mtu aliweka uzi wa kutafuta watu wanaoweza kufanya kazi yoyote, jaribu kuutafuta. Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. yuclighty

    Naombeni Kazi wana Jf

    Tatizo unachagua kazi, wewe sema unaomba kazi yoyote maana zingine hazihitaji ujuzi Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. yuclighty

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Ukikanusha utoe na mbadala wake kwa muhitaji, kama ni utapeli muajiri basi au mpe mbinu nyingine. Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. yuclighty

    Kula ki masihara kulivyo nisababishia maumivu yasiyo pona no.1

    Hadithi bwana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. yuclighty

    Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

    Yah mdogomdogo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. yuclighty

    Ushauri jamani bandugu

    🤣🤣 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. yuclighty

    Tofauti ya matangazo ya kazi humu awamu hii na ile iliyopita

    🤣🤣🤣, bora ilo la kuuliza ni biashara gani kwa ntakujuza wa laki moja, Jamani kazi kazi kaaaaazi ni kazi kupata, mwaka wa nne sasa nimeitwa mara moja tu Nashauri mtu tafuta hata elfu hamsini ya mtaji wa karanga Sent using Jamii Forums mobile app
  12. yuclighty

    Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

    Ati toka lini?, jaribu kufanya biashara piah Sent using Jamii Forums mobile app
  13. yuclighty

    Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

    Fuata ushauri huu dada!, Sent using Jamii Forums mobile app
  14. yuclighty

    Natafuta mdada wa kujitolea kama Customer Care

    Interested Sent using Jamii Forums mobile app
  15. yuclighty

    Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

    Katika hizi biashara za networking naona 98% tunajua kua ni utapeli, labda niseme ivi kuna baadhi ya companies ndio haziko vizuri , ni sawa tu na biashara nyingine ambayo mtu anaweza anzisha na mwisho ikaenda ndivyo sivyo na kudondokea pua au ikaenda vyema akatusua. Binafsi naweza kushuhudia...
  16. yuclighty

    Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

    Umenifanya nicheke ila tu sipo katika mlengo wako Sent using Jamii Forums mobile app
  17. yuclighty

    Kila msichana ninae mchunguza naona hafai kuolewa na mimi, mwaka wa 7 sasa sijapata mtu sahihi wa kuoa

    Tukisema tuanze kuchunguzana ko namna hiyo hakuna atakae kubali kuolewa au kuoa Kama binadamu alieumbwa na Mungu sio mkamilifu basi utapoteza muda sana wewe chukua yule aliefikia walau 60%
  18. yuclighty

    Naomba kujua mbinu zinazotumika katika kupata kazi

    Ni mwaka wa ngapi umekaa bila kazi baada ya kumaliza chuo? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom