Mwaka Jana tulikua tunatoka kasulu mida ya jioni tulikua watu saba hivi kwenye cruiser tunaelekea mtendeli. Kwa wanaoifaham hii njia kuna utekaji magari sn, kwa hiyo mazungumzo ya kutekwa yalitawala na kuulizana kama kila mtu ana hela angalau kuanzia elfu 20 ili msala ukitokea angalau uwe na...
Nilikuwa napenda sn kula chips kuku pale halafu nafungiwa ili nile ndan ya gar. Kuna siku nikanunua ile nafungua ili nile naona kuna kamende. Ilibid nimwambie dereva asimamishe gari niirudishe japo new force ni wabish kusimama iliwabid maana nilikuwa na hasira na ukichanganya na njaa we acha tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.