Search results

  1. big-diamond

    Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

    Daah, kuna wimbo wa Harmonize unaitwa Single..Booonge la biti, melody taaamu, shida ni umri, nikisema niuweke na kuusikiliza hata kwa sauti ndogo watoto watahisi nimeachwa na mama yao au ndoa ina ina shida, kwaiyo nakaa nausikiliza kwa machale machale saaaana.
  2. big-diamond

    Vita ya 3 ya dunia (WW3)

    Kwa wapenda vita, WW3 ina hasara nyingi kwao kuliko faida. Maana hao ndio huwa wanafadhili pande zote
  3. big-diamond

    Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Tuanzie hapa, wewe ni kabila gani? Ukijibu hili litasaidia mengi saaana... Na asilimia 99 hautajibu hili swali.
  4. big-diamond

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwanza nimshukuru Mungu kwa kupata asali, Pili, siku naenda kuchukua barua niliambiwa haya haya, ila kwa bahati nzuri nilikuwa nimebeba nguo nyingine maana nilikuwa naunganisha safari ya kwenda kuripoti kabisa kituo cha kazi. Hivyo nikasogea pembeni kidogo. Nikapiga mchomeko wangu, nikachkua...
  5. big-diamond

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani mkuu...hatuna namna..
  6. big-diamond

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Watu wamesota mtaani tangu 2011, tushauza juice za miwa sana, tushaendesha hadi boda, mwisho wa siku ni kukomaa na tunafanya vitu halali watoto waende chooni. Kwa kada zetu nafasi huwa zinatoka kwa manati sana..vuta picha Unaweza kukaa miaka mingapi bila kuina nafasi ya afisa maendeleo. Na...
  7. big-diamond

    Tujikumbushie movies zilizotukuza in 80s, 90s & early 2000s

    Ambiao inaitwa Nam Angels
  8. big-diamond

    Wanaume tusiopenda wanawake wenye makalio makubwa tukutane hapa

    Ana sehemu yake kwenye ufalme wangu
  9. big-diamond

    Wanaume tusiopenda wanawake wenye makalio makubwa tukutane hapa

    Nashangaa watu wanapiga kelele kila siku ooh wezele...oooh tako... Mi nataka vita ya Armagedon, watu mnapiga chumbani utafkili kuna mtu anachinjwa vile.. Sasa hawa vibonge na mimi wapi na wapi, kwanza naishiaga kusema kuwa tako halina kazi zaidi ya kukalia.. Sifa za msingi.. 1. Miguu a)...
  10. big-diamond

    Wanaume tusiopenda wanawake wenye makalio makubwa tukutane hapa

    Bana bana...nyie makalio bakini nayo...sisi wazee tunapenda chuchu.. Boobs bana...nyie nyie... Unajikuta umegeuka ndama...vijana tukiwaambia wanasema tuna vibamia, ila tunajua mbilinge walilonalo vipotable.. roho unaikuta kwenye chaga huko chini inagalagala.. Boobs ndio kila kitu
  11. big-diamond

    Je Mfumo wa Mastercard Tanzania una Tatizo?

    Shukrani mkuu..ninafikiria kuhamia M PESA VISACARD
  12. big-diamond

    Je Mfumo wa Mastercard Tanzania una Tatizo?

    Habari wakuu, tangu jana nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kadhaa online kwa kutumia kadi za Mastercard bila mafanikio, Mwanzoni nilikuwa natumia kadi za mitandao ya simu hola, ikabidi nitumie kadi ya benki yangu, lakini nayo hola..japokuwa njia hizi hizi nilikuwa nikizitumia zamani na malipo...
  13. big-diamond

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Zoezi lilifanyika kkoo tangu jumatatu, na wana mpango wa kushtukiza tena
  14. big-diamond

    Namchukia mzee wangu!

    Yani mzee mzima wa miaka 33 umeshindwa kumjengea nyumba Baba ako. Unakuja kutupigia kelele za ku fight (Eti bado una fight?) Unatuaibisha
  15. big-diamond

    The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Pascal Mayalla Blaza wangu hizi njaa zinakupeleka wapi? Mbona unaishusha thamani yako kwa vitu vidogo? Ipo siku watoto wako watakuja kuona jinsi ulivyo mlamba viatu na watakuchukia maisha yao yote. Usikubali njaa itawale akili yako kaaangu. MUDA HUWA NI HAKIMU WA HAKI NA KWELI.
  16. big-diamond

    Vigogo wa kampuni ya vinywaji, BEVCO LTD wafikishwa mahakani kwa rushwa, ubadhirifu, utakatishaji fedha haramu na ukwepaji kodi wa sh. bilioni 1.6

    Hii ya State Sponsored Robbery nimeielewa sana (SSR). Hizi taasisi zina makali upande mmoja tu,.na wale wanaosifu na mapambio wacha waendelee kusifu. Lakini kawaida ya jini likikosa kupewa damu baada ya kafara kuisha huwa linarejea kwa WANAFAMILIA kudai DAMU.
Back
Top Bottom