Search results

  1. C

    NIDA nafasi za Kazi kwa Vijana na Volunteers kuondoa Foleni ya Registration

    Tatizo hili linasababishwa na wananchi kwa asilimia kubwa, siku za mwanzoni walijitokeza wachache! Nakumbuka hata zoezi la usajili wa line za simu ilikua hivi, inabidi tubadilike.
  2. C

    Ninadhurumika nafsi, nami nina moyo jamani.

    Mwanaume ana kazi mbili, Pesa na K..........
  3. C

    Vacancies

    nimekusonyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  4. C

    Kuitwa kwenye intaviu NHIF

    DoooH! kazi rahisi sana ,nenda kafanye intaviu, acha longo longo,kila mtu ameitwa ,kapambane.
  5. C

    TRA, TCAA, NHIF, St John, vp washaita watu?

    vip chuo kikuu huria wameishaita?
  6. C

    Kuitwa kwenye intaviu NHIF

    kwa walio'omba kazi nhif wanaitwa kwenye intavie, habari kamili Daily Newz ya leo .
  7. C

    Majibu kwa waliombaga nida(mamlaka ya taifa vitambulisho)

    kwa mdau anayehusika hapo nida, atupe taarifa kama majina yatawekwa hewani, nakumbuka walisema majina yatatoka kwenye magazeti, natumai yatatoka, au mpaka kieleweka hapo tume ya utumishi.
  8. C

    Nafasi za kazi Rwanda

    nilikua napita tu!
  9. C

    Re: Kazi nje nje

    Yesu ni mwamba! yesu ni mwamba.
  10. C

    Kuitwa kwenye interview TTCL (oral)

    niliitaji jibu ndiyo au hapana ,naona unanishushua, ukweli nimeupata kesho jumanne wanamalizi kuitaviu watu wa security , kama ujaitwa ndo imekula kwako na kujaribu kucheck ustarabu mwingine.
  11. C

    Kuitwa kwenye interview TTCL (oral)

    any updates
  12. C

    TTCL Shortlisting.

    wadau wa ict security engn natumai walikua fit ktk worms,spyware,threat,risk smtp ,telnet na mambo ya iso.
  13. C

    Tume ya ajira tanzania

    tume inachemka inaita watu wengi sana, nibora kushortlist hata watu 10 kwa post moja, mwezi machi walifanya intaviu watu 56 kwa post moja, hata kama walichemka 50 naamini 6 walifanya vizuri cha ajabu wakatangaza nafasi nyingine tena, sio siri inauzi sana kwani wasomi wananyanyaswa,wakati wao...
  14. C

    Edo Kumwembe na uchambuzi wake wa kinafiki

    Kocha wa Arseal ndo gamba lililoota mizizi, acha hasira ingawa ukweli unauma.
  15. C

    Nafasi za kazi TIRA

    vip matokeo ya interview ya nssf iliyofanyika pale IFM.
  16. C

    Nafasi za kazi TIRA

    plz kama kuna mdau anataarifa yoyote , sijaona matokeo ya system administrators.
  17. C

    Wizara ya fedha kutangaza nafasi 200 za kazi

    nafasi 200 hazitoshi kabisa, ukizingatia idadi ya wanaomaliza vyuo ni wengi sana kuliko soko la ajila, imefikia wakati watanzania tufikilie ajira binafsi, ni bora kulima kijijini kuliko kukaa mijini na kujiingiza katika mambo yasiyofaha .
  18. C

    Msanii bambo avunjika mguu ajalini, alazwa muhimbili hospital

    muda mwingine mama anasingiziwa, mtoto anabadilishwa na nesi wakati wa kujifungua. refer Katalina and Sebastian series being shown at STVE 2
  19. C

    Ze komedi...

    kuku hata hasipo oga anataga yai jeupe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  20. C

    Ephraim Mafuru wa Vodacom wapi siku hizi?

    teheee hacha hizo
Back
Top Bottom