Kuitwa kwenye interview TTCL (oral)

hivi wewe una shida halafu unataka watu waumize vichwa kufikiria shida yako ni nini na ni nini solution yake? kama hutaki kutoa full details basi hakuna jibu utapata hapa....
 
any updates

Mbona una mchecheto hivyo, si walisema after two week wataita wao wenyewe? Two weeks kamili ndo leo, subiri angalau hadi next week hivi, ila ukiona kimya ndo ujue wamekula kichwa.
 
hivi wewe una shida halafu unataka watu waumize vichwa kufikiria shida yako ni nini na ni nini solution yake? kama hutaki kutoa full details basi hakuna jibu utapata hapa....

niliitaji jibu ndiyo au hapana ,naona unanishushua, ukweli nimeupata kesho jumanne wanamalizi kuitaviu watu wa security , kama ujaitwa ndo imekula kwako na kujaribu kucheck ustarabu mwingine.
 
Du kwahiyo watu wameitwa leo na wamefanya interview na kesho wanamaliza? au waliitwa kabla ya week mbili kama walivyosema? maana week mbili ziliisha ijumaa.
 
Back
Top Bottom