Search results

  1. kababaa1

    Msaada: Vipele usawa wa Taya

    Wakuu heshima kwenu. Kuna jamaa wangu anasumbuliwa na tatizo la vipele usawa wa taya na vinamuwasha sana. Ni mwaka wa 12 ameshaenda hospitali nyingi bila mafanikio. Pia kifuani kalianza kakipele ila kamegeuka na kuwa kama nyama na kanazidi kuota. Vipele vipo kuanzia mwisho wa sikio kushuka...
  2. kababaa1

    Msaada namna ya ku-unlock Vodafone

    Wakuu salamaa? Nimenunua Vodafone inatumia voda tu. Nataka nitumie mitandao yote. Natanguliza shukran
  3. kababaa1

    Msaada: itel inasumbua sana

    wakuu heshima kwenu. itifaki ikizingatiwa. ninatumia itel ambayo n smartphone ina tatizo la kujaa hata kama sija sija dounload chochote. internal memory ni 149mb. kila nikifanyia back up restore inakuwa vizur ila baada ya siku moja inanambie phone memory full delete some items. afu aplication...
  4. kababaa1

    Nimemfumania mpenzi wangu naomba ushauri

    Mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenzi wangu kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza kuwa alikua akinisaliti. Nilimuliza mpenzi wangu akakataa katu na kuapa kwa mungu na kunikaripia...
  5. kababaa1

    Serikali inapoteza mabilioni ya shilingi kwa uozo unaofanywa na hawa jamaa NMB Kibondo - Kigoma

    wakuu, serikali yetu iko katika hali mbaya kiuchumi, huku taasisi binafsi zikiingiza faida kila kukicha jambo linalofanya baadhi ya watumishi wa serikali kutamani kufanya kazi katika sekta binafsi kwa kuwa mishahara minono inapatikana huko. sticky to the point. nilienda kukopa pesa katika...
  6. kababaa1

    Vodacom yapoteza wateja zaid ya 700 katika wilaya ya Kibondo

    wakazi zaidi ya 700 wa vijiji vya kisogwe, Busunzu na Nyarulanga wilayani kibondo Mkoani Kigoma wamehama mtandao wa Voda rasmi baada ya kukosa netwek kwa takribani siku tisa mfulululizo baada ya mnara wa voda katika eneo hilo kuwa na hitilafu za mara kwa mara.
Back
Top Bottom