Search results

  1. Pompoo

    Paul Makonda apokea meseji tatu za vitisho

    Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mh. Paul Makonda amepokea meseji tatu za vitisho kutoka namba zisozosajiliwa. Akizungumza na Millard Ayo alisema meseji hizo ni pamoja na 1.Kutishiwa Kutokana na kutetea maslahi ya wasanii. 2.kutishiwa maisha Kutokana Na kusimamia sheria na katiba.. (STK)...
  2. Pompoo

    Msaada Simu yangu imejilock ghafla.

    Habari zenu wakuu. Jana usiku nilimuachia mtoto simu baada ya kurudi nikakuta simu imejilock na inaandika PLEASE ENTER THE PRIVACY PROTECTION PASSWORD/PIN. Nimejaribu kuweka PIN ninayotumia siku zote imegoma, Mwenye ufumbuzi au ushauri msaada tafadhali. Simu ni TECNO H6.
  3. Pompoo

    Msaada; Waliofanya Transfer Watapata lini Mkopo?

    Mwenye kufahamu hili suala anijuze wakuu.
  4. Pompoo

    Mkopo Wangu Umepelekwa Chuo Tofauti na Nilichopangwa na tcu

    Kabla ya transfer nilichaguliwa DUCE Baed. Ila Nikaomba transfer ya kwenda NIT. Tena nikapewa fom maalum pale chuoni nijaze nakuipeleka tcu. Ajabu ni kwamba mkopo umetoka tofauti kabisa. Mkopo uko Archbishop Tabora. Sasa nashindwa kuelewa kama transfer yangu ililshindikana kwa nini wanipeleke...
  5. Pompoo

    DUCE Family on JF - Special Thread

    Habari Zenu wakuu.. Mimi nimechaguliwa Duce naomba kujuzwa changamoto za hiki chuo!! Pia kama kuna kubebana tukumbukane jamani
  6. Pompoo

    Babu kaua!!!

    MCHUNGAJI: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele. Mara kibabu kimoja kikasimama na kwenda mbele...! Bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia... MCHUNGAJI akamuuliza, tueleze pingamizi lako!!. Kibabu kikajibu: "Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma...
  7. Pompoo

    Employment Opportunities From ''WORLD VISION''

    World Vision Tanzania is seeking to recruit a suitable candidate to fill the following positions: Job Ref No: WVT/P&C/F13/55 Job Title: Sponsorship and Program Facilitator (192 Positions) Reports to: Project Coordinator Locations: 1. Eastern zone covering Tanga Region, Dar es salaam and...
  8. Pompoo

    Siwezi Kutumia Jamii Forum..!!!!!!

    Jaman mimi sio mgeni saana ila kiukweli kuna mambo siyajui humu.. 1.Ikiwa nimetoa thread yangu na member wakachangia ni jins gan nitaiona tena hyo thread ili nijibizane na member? 2. Ikiwa nataka kucoment kwa picha nifanyaje?? Maana kuna kpnd niliapload pcha kwenye coment lakin ckuiona...
  9. Pompoo

    Nimekupenda Humuuu!!!!!

    Ni ka muda sasa nimekua nikipita kwa mbaali humu Jf.. Bt kwa sasa Nimeona niwe humu.. Wenyeji naombeni nafasi
Back
Top Bottom