Search results

  1. D

    Msaada kwa watalaam wa magroup ya damu

    Heshima yenu madoctors; Samahani naomba kuuliza, hv inawezekana kwa mtoto kuzaliwa akiwa na blood gloup B+ huku wazazi wake ni A+ na O+? Kwa mwenye kufaham vizuri hii Biology naomba kujua tafadhali.
  2. D

    Majina ya Laboratory Technicians

    Jaman naomba mwenyekufaham yalipo majina ya waliochaguliwa kwenye maabala za shule za sec au vyuo anijuze maana natafuta kla sehem lkn siyaon
  3. D

    Msaada jinsi ya kuweka Whatsapp kwenye Nokia XL

    Nina simu aina ya NOKIA XL, awali ilikuwa inaoperate watsapp vizur, lakini ilipo expire ikawa tatzo niki instal watsapp naambiwa ''Deviece not supported'' What can I do wataalam, msaada plz
  4. D

    hii ni dharau kubwa sana!

    jamani! kwa nn kikwete hawezi ata kuwa na huruma kwa watz japo kidogo? yaan matatizo ya kifedha yanalikabili taifa mpaka waziri wa fedha kashakiri, fedha ya PT kwa wafunzi wa vyuo haijapatikana mpaka sasa ni wiki ya nne toka waanze field, walim na madactari wapya mpaka leo hawajapata fedha wala...
  5. D

    tetesi, TCU, kuhusu walioko jkt

    jamani napenda kuuliza kuhusu form six walioko jkt, kuna utaratibu gani wa kuomba vyuo, au ndo imekula kwao?
  6. D

    jaman ni kweli?

    wana jamvi napenda kuuliza, mm ni mfanyakazi ktk kampun fulan hapa nchi, kipindi cha nyuma makato ya mfuko wa jamii(NSSF)tulikuwa tunakatwa kwenye GLOSSY,hv karibun mwajili ametuambia kuwa makato ya NSSF yataanza kukatwa kwe basic saraly kwa kudai kuwa social security law imefanyiwa...
  7. D

    Hali ya hewa yachafuka Mwanza: Polisi wapambana na wafuasi wa CHADEMA

    mkutano wa CHADEMA waingia dosari baada ya makanda wa CHADEMA kuelekea kwa mkuu wa mkoa kuongea nae akakataa na kuamru police watandaze kichapo sasa hv mabom yanapigwa
  8. D

    Nini tofauti kati ya riwaya na tamthiliya

    ndg wana JF, Mwenye kujua kwa ufasaha tofauti kati ya riwaya na tamthiliya anisaidie jaman.
  9. D

    wanajukwaa nisaidieni,

    lipi neno sahihi kati ya dadafua na dadavu.
Back
Top Bottom