Search results

  1. clever boy ze don

    Line za wakala zinauzwa bei sawa na bure

    Line ya m pesa sh. 150000 Line ya Airtel money sh. 80000 Line ya tigo pesa sh.150000. Nipo tabora, unaweza ni pm, nitext 0714340747
  2. clever boy ze don

    Forever living product

    habari wakuu jaman naomba kujua kuhusu hii kampuni ya forever living product, kwann kampuni inataka watu wengi wajiunge? halafu kwanini inasemekana inatoa faida kubwa sana kwa wanachama?
  3. clever boy ze don

    tabota tabora hapahapa

    ka unahitaji tecno s3 na uko tabota ni pm tufan ye biashara
  4. clever boy ze don

    Majina ya waliofanya makosa katika fomu za bodi ya mkopo

    NDUGU HABARINI; KWA YOYOTE ANAYEJUA KUHUSU KUTOKA KWA MAJINA KWA WALE WALIO KOSEA KATIKA FOMU ZA BODI ANIJUZE. :help::help::help:
  5. clever boy ze don

    heslb imerudisha fomu zenye makosa?(bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu)

    ndugu naomba kujua kama kuna ukwel wowote kuhusiana na taarifa kuwa bodi zenye makosa zmerudshwa posta. Anayefahamu kuhusu hli anijuze
  6. clever boy ze don

    msaada kwa anyejua, nilisahau kuweka sahihi na tarehe kwenye fomu za bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    ndugu zangu naomba msaidie kwan nili2ma hizo fomu pasipo kuweka sahihi na tarehe kwenye sehemu ambayo inasema ka umekubaliana na mashart ya mikopo weka sahihi yako hapo chn na tarehe. Nahofia kunymwa mkopo nifanyeje jaman.
  7. clever boy ze don

    mgeni mm jaman

    habar wana jf, mi ni wanachama mpya jamani naomba ushilikiano wenu jaman. Asanten
Back
Top Bottom