Search results

  1. TAWA

    Benson Bana na Said Mkumba wako wapi?

    Wa kufanyaje
  2. TAWA

    Nchi inawaza kushinda uchaguzi tu

    Hovyo sana
  3. TAWA

    Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

    Huyo ni mgonjwa, dawa anazotumia ni Kali Sana. Sasa siyo vizuri kubishana na mgonjwa au kumsema vibaya mgonjwa
  4. TAWA

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli mrudishe January Makamba na Nape wajibu hoja, Polepole anakihujumu chama

    Hivi unadhani Nani huwa anamshauri mwenzake Kati ya Magu na Polepole!?
  5. TAWA

    Mwalimu Mkuu anapomtusi Rais kupitia gazeti la Jamhuri, makala yake ya tarehe 25 Feb

    Pengine alikuwa anamsema Museven unajuaje Sent using Jamii Forums mobile app
  6. TAWA

    Bongo Zozo amesajili Channel yake TCRA?

    Ila huyu jamaa kuna anachokitafuta hapa nchini. Tukija kumshtukia itakuwa too late Sent using Jamii Forums mobile app
  7. TAWA

    Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

    Ameongea na taifa kupitia simu ya diamond plutnam huko Kigoma Sent using Jamii Forums mobile app
  8. TAWA

    Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru Ally wana wa nchi tunasubiri kauli yako

    Kiwango cha wapumbavu kinazidi kuongezeka siku hadi siku Sent using Jamii Forums mobile app
  9. TAWA

    Nchi inawaza kushinda uchaguzi tu

    Weeee! Unasema kweli!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. TAWA

    Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

    Faida inazalishwa kiasi gani. Hivi unajua unaweza miliki kiwanda cha misumari kinachojiendesha kwa hasara kubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. TAWA

    Nchi inawaza kushinda uchaguzi tu

    Ajira ni Bomu linalosubiri kulipuka@mzamifu, Sent using Jamii Forums mobile app
  12. TAWA

    Nchi inawaza kushinda uchaguzi tu

    Yani ni zaidi ya hovyo. Wakuu wa mikoa na MaDc wamekuwa wapiga kampeni. Hata jambo lililofanywa kwa nguvu za wananchi lakini jina la mhishimiwa lazima litatajwa kwa mbwembwe zote na shukrani atapewa yeye utazani kafanya yeye Sent using Jamii Forums mobile app
  13. TAWA

    Nchi inawaza kushinda uchaguzi tu

    Wanazingua sana. Yani tumekuwa kwenye kampeni miaka mitanno sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. TAWA

    Nchi inawaza kushinda uchaguzi tu

    Ukiangalia mwenendo wa siasa wa nchi yetu kwa sasa, ni dhahiri shairi viongozi wetu wanawaza kushinda uchaguzi tu hakuna lingine. Tangu wamechaguliwa akili na mawazo yao yapo kwenye namna gani watashinda tena uchaguzi. Hii inadhihirishwa hata namna ya maendeleo wanayotuletea. Ni yale maendeleo...
  15. TAWA

    Uchaguzi 2020 Uzi maalum kwa watia nia ubunge unaowahisi jimboni kwako

    Said Mgumba ni was Morogoro kusini. Morogoro kusini Mashariki Prosper Joseph Mbena. Masahihisho tu
  16. TAWA

    Mimi na familia yangu tunalihama kanisa Katoliki rasmi pia nakusudia kumuandikia papa barua kulishtaki Kanisa Katoliki Tanzania

    "Nasadiki kwa kanisa katoliki la Roma, maondolea ya dhambi na ufufuko wa wafu"
  17. TAWA

    NMB Chalinze kumeoza, mnaohusika litazameni lile tawi

    Hapana, ni tawi ninalolitumia mara kwa mara ingawa mimi si mkazi wa hapa. ninaishi Mbele kidogo na hapa chalinze nina biashara zangu maeneo haya. kwa hiyo nimeanza kutumia hili tawi toka 2009 mkuu. si suala la umbea
  18. TAWA

    NMB Chalinze kumeoza, mnaohusika litazameni lile tawi

    mawakala hawapokei cheque mkuu, mawakala wanadeal na cash transaction tu
Back
Top Bottom