Search results

  1. mtungutu

    Wale wa udsm wanaotaka kubadili course walizochaguliwa, someni hapa

    UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM PROCEDURE FOR CHANGE OF DEGREE PROGRAMME All first year students are required to register in the academic programmes they have been admitted to. Those wishing to transfer from one academic programme to another will be allowed only where the student has higher points...
  2. mtungutu

    Jinsi gani naweza kurudisha files kwenye computer..????

    Wadau nina tatizo ktk computer yangu desktop-dell, partition mojawapo imepoteza files zote (hazionekani). Nikiangalia properties naona imetumika (used space). Nimejaribu kuangalia TOOLS ili nicustomize folders naona kila kitu kipo sawa. Tatizo lilianza kwa kublink na sometimes local disk hiyo...
  3. mtungutu

    Kiini cha vurugu bungeni chabainika.

    Dodoma. Maoni ya Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala kuhusu Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa 2013 yanadaiwa kuwa yalibadilishwa dakika za mwisho na kwamba suala hilo ndicho kiini cha vurugu zilizotokea bungeni mjini Dodoma juzi. Gazeti hili limefanikiwa kuona nakala...
  4. mtungutu

    Msaada tafadhali

    Kuna jamaa yangu kaomba chuo kwa kutumia Equivalent category, katika vyuo vitano alivyoomba vinne tayari selection zake ziko kwenye websites za hivyo vyuo, kimebaki chuo kimoja ambacho ni St. John. Nikimwangalizia kupitua TCU napata ujumbe kuwa either hajawaselected or information hazijawa...
  5. mtungutu

    Walioomba University of Bagamoyo (UB)

    Tembelea link yao www.uob.ac.tz
  6. mtungutu

    Walioomba University of Bagamoyo (UB)

    Tembelea link hii. www.uob.ac.tz
  7. mtungutu

    Natafuta vyumba vya kupanga Dodoma.

    Wadau wana jf.... Mimi ni mwalimu (sekondari), natafuta vyumba vya kupanga (vyumba viwili na sebule) maeneo ya katikati ya mji au Nkuhungu nahitaji vyumba viwili na sebule kwa sababu natarijia kuoa hivi karibuni. Kwa yeyote atakaye wiwa/penda kunisaidia kupata vyumba hivyo ani PM...
  8. mtungutu

    Nipekeeni jamani

    Wadau naomba kupokelewa humu ndani.......
Back
Top Bottom