Search results

  1. Anthony Threedeyea

    Huruma iliyozidi kipimo

    wee jamaa inaonekana unatakamo sio bure!
  2. Anthony Threedeyea

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    dalili za mvua n mawingu!
  3. Anthony Threedeyea

    Chatu afa baada ya kumeza Nungunungu

    maswali mengine hayana majibu!
  4. Anthony Threedeyea

    Nimedanganya jinsia yangu

    Rudisha pesa yangu asee ntakutafuta iwe kwa mvua au kwa jua mchepuko wangu wa wozap
  5. Anthony Threedeyea

    Huyu kijana wa jirani nimfanyeje? Kila msichana wa kazi wangu anampa mimba

    duu kumbe laki mbili tyuu mutu anapotezwa??? ila sio fair hukumuvitolewe kwa kosa lake hawa askari wa siku hizi vilaza sasa ukimsingizia kija uhalifu faida ipo wap?
  6. Anthony Threedeyea

    Nifanyaje ili nimuache lakini asiumie?

    Habari zenu wakuu, Napenda kujitokeza mbele yenu kuomba ushauri kwa ili suala nalollpitia kwa sasa japokuwa inaweza kuonekana jambo la kawaida kwa wadau wengine hapa ndani. Kwa ufupi nimetokea kupendana na binti mmoja msukuma mwenyeji wa wilaya ya Sengerema kiukweli ni binti mpole, mkarimu na...
  7. Anthony Threedeyea

    Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

    Mwee mleta mada anachuki binafsi huyu jamaa namkubali sana ni mchangamfu na inaonekana sio mbinafsi maana kila anachofanya lazima tushare wote Hongera kaka ktk siku yako ya kuzaliwa mungu akubaliki hata kama wanaponda kwa upande wangu nakupenda sana
  8. Anthony Threedeyea

    Unawezaje kumtambua mwanamke mwenye zaidi ya mpenzi mmoja?

    Mambo vipi ma cheif, Napenda kujitokeza mbele zenu hapa kuulizia jambo linalonitatza kwa sasa. Utamtambuaje mpenzi wako kama yupo pia katika mahusiano mengine? NB: Samahani kama nitakua nimemkwaza mtu.
  9. Anthony Threedeyea

    Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yeye ni bikira

    ahahahaha imebidi nicheke....
  10. Anthony Threedeyea

    Ulikabiliana vipi na maumivu ya kusalitiwa?

    Mwanamke ukijua kucheza nae hawezi kukukmbia hata siku moja jombaa Kitu cha msingi usijioneshe unapenda sana kivileeeeeeeeee!
  11. Anthony Threedeyea

    Picha: Lowassa anaonekana kachoka sana hata kabla ya kampeni

    hata mimi nina wasiwasi na huyu bwana itakua mgonjwa anavyotembea kama robot kugeuka mpaka ausishe mwili mzima duu!
  12. Anthony Threedeyea

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    nilimaliza nafasi zote kk za,kuedit....natoa gharama upya?
  13. Anthony Threedeyea

    Mama wa mchumba tarajiwa nimeambiwa ni mchawi

    unafundisha shule gan hapo mwalimu??
  14. Anthony Threedeyea

    Sijui nimlie vitu vyake? Anajipendekeza

    duuh,watu kama nyie nawapenda kuna mmoja nilimwacha kwenye mataa teh teh teh!
  15. Anthony Threedeyea

    Dr. Kapiteni wa TMJ Hospital ni hatari kwa wagonjwa wa kike

    kwa upande wangu sioni kosa la daktari nisawa na kuingilia faragha yake na wahusika wanaodhani ngono itatatua matatizo yao....suala la kuhaidi kuwaoa nadhani hiii n trick inayotumika kupata kitu!
Back
Top Bottom