Search results

  1. S

    Mamiss wetu na maswal ya papo kwa papo

    Kaka kama hilo swali lime-elekezwa kwako ungejibu vipi? naomba jibu lako
  2. S

    Mke aja juu kubadilishwa jina na mumewe...

    hey wa-america majina ya kati ni majina yao siyo majina ya baba zao kwa mfano hilary ni jina lake na rodham ni jina lake.ndo wako hivyo nimezaa na mmarekani nikajua ntampa mwanangu jina langu la kati akaniambia jina ataro pata ni sir name tu na hayo mengine yote ni yake mwenyewe sijui kama uminipata
  3. S

    Sijawahi sex hata one day

    mzee una sura inatisha duh
  4. S

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    ok osama anaishi R u happy now?
  5. S

    Tamko la Lissu kuhusiana na sakata la kesi ya Arusha; Mbowe naye alonga

    kaka hebu tupe shule wewe ujuavyo
  6. S

    Ni msemo gani unaokupa nguvu zaidi ukiwa kwenye shida

    "life is long way to go". i got this statement from my daddy an i always use when i have problem. RIP Daddy
  7. S

    Kumbe Katibu Mkuu CCM analipwa Mil11 kwa mwezi

    safi sana nimependa jibu lake na wanachama wa magamba wamesikia
  8. S

    JK ni kweli kazaa na mtoto wa ROSTAM?

    Ninawazo kidogo naomba tuanzishe web itakayo kua inashughulikia umbeya na habari za kizushi peke yake tuiache jf kwa great thinker
  9. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Vatican city is a country jaribuni hata ku-google kabla ya kupinga kila kitu hapa
  10. S

    Sheikh yahya aumbuka au bado?

    je hakumpongeza jmk alivyo pata ushindi?
  11. S

    Sheikh yahya aumbuka au bado?

    Naomba uliza wana forum huyu mchawi wa ccm ameumbuka au bado uchaguzi hautafanyika bongo?
  12. S

    Words women say during sex

    nimeonyesha dame wangu hiyo ya mwisho "am coming" amechukua na kuniacha sa hii, tafadhali msiandike ukweli humu
  13. S

    Video: Jerry Muro apasua jipu la sakata lake la rushwa!

    Bado kidogo tu watampata sasa hivi vuteni subira
  14. S

    Vituko mahakamani

    duh!! hiyo ni chiboko
  15. S

    Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

    ukibeba box ni sehem ya utafutaji. alitafuta sasa kapata. ni mimi mbeba box mpya. mnatuonea wivu
  16. S

    VodaCom Miss Tanzania 2009

    kwni lulu miss kino alikua kwenye kumi bora /
  17. S

    VodaCom Miss Tanzania 2009

    jamani naomben mniambie mshindi ni nani niko mbali jamani
  18. S

    VodaCom Miss Tanzania 2009

    jamani nani mshindi?
  19. S

    Two Medical Doctors Drown in Sanje Water Falls

    Nilikuwa na dk mujuni mutabuzi wakati tuko o-level forodhani sec school alikuwa na akili sana darasani na alikuwa mcheshi sana na mwenye masihara lakini ana adabu nzuri kwa watu wote mungu ailaze roho yake mahari pema peponi
  20. S

    Mag3 nasubiri kuona nchi inayumba kama itayumbishwa !!

    thieti wanathema bwana mkubwa ana kithathi na liyumba kwa thababu ya d.....,
Back
Top Bottom