Sheikh yahya aumbuka au bado?

Anajua alichofanya ndiyo maana yupo kimya. Tusimbeze sana anaweza akapata ubunge wa kuteuliwa. Si unajua nchi hii inavyoendeshwa!
 
Huyu mzee ni mjanja mjanja sana, tena ni shushu wa CCM huyu me nahisi... ameshaumbuka mapeema ila anajifanya mjuaji tu
 
Dont call that witch SHEIKH pls.....he is not and never he will be.....he doesnt deserve the name......ANAUHARIBU UISLAM PAKA MCHAWI NA MSHIRIKINA YULE
 
Kwa hili mimi nadhani Sheikh Yahya ametabiri sahihi, kwakuwa huo uchaguzi uliofanywa ni batili, wewe uliwahi kuona wapi uchaguzi unafanywa lakini kura zinazotangazwa zinahitilafiana kwa kiwango kikubwa na kura zilizopigwa.
 
Dont call that witch SHEIKH pls.....he is not and never he will be.....he doesnt deserve the name......ANAUHARIBU UISLAM PAKA MCHAWI NA MSHIRIKINA YULE

BAADA YA KUPITIA POST YAKO NI MATUMAINI YANGU NA IMANI YANGU KUWA Questt WEWE NI MUISLAM
Nimebarikiwa sana baada ya MUISLAM kukubali kuwa Huyu MCHAWI sio SHEIKH ni mpotoshaji na muaribifu wa UISLAM, kila tukimuita MCHAWI hapa JF kuna wafuasi wake ni wakali kwelikweli wanadai sisi ni wadini. Narudia atumchukii huyu SHEIKH FAKE kwa kuwa ni MUISLAM la hasha bali kwakuwa ni muongo, mnafiki na mshirikina, anapotosha watanzania na hata Waislam kwa tabiri zake na kutishia watu majini. MUISLAM gani ana shiriki ktk SHIRKI? Huyo ni mchawi tu. ASANTE sana QUESTT
 
Kwa hili mimi nadhani Sheikh Yahya ametabiri sahihi, kwakuwa huo uchaguzi uliofanywa ni batili, wewe uliwahi kuona wapi uchaguzi unafanywa lakini kura zinazotangazwa zinahitilafiana kwa kiwango kikubwa na kura zilizopigwa.[/QUOTE

Byendangwero Usimtetee MCHAWI huyo, alisema mmoja wa mgombea URAIS kati ya wawili wenye upinzani mkubwa mmoja wao atakufa na uchaguzi utasogezwa mbele/kuhairishwa haya wewe mtetezi wake tuambie nani kafa? Na je uchaguzi umehairishwa au kusogezwa mbele?

Ukipata jibu la swali langu hapo juu, utaelewa kuwa hata CCM aliwadanganya na kuwatisha kuwa atakaye gombea kumpinga JK ndani ya CCM atakufa. Jamaa kutokana na hofu ya kufa wakamuacha awe mgombea pekee ndani ya CCM wakategemea mbinu hiyohiyo iwatishe wapinzani wa kweli CHADEMA walipoona hawatishiki wakaja na plan B ya kuchakachua matokeo
 
Huyu mtu anapata umaarufu wa sana kwa sababu mnamuongelea!! hebu achaneni naye
 
sio tu mchawi wa ccm ila kihalisia ni mchawi wa kikwete.............tunaongozwa na rais ambae haamini ulinzi anaopewa na nchi ila anaamini uongo wa majini ya sheikh yahaya na kikwete chochote anachoahidiwa na sheikh huyu wa wailslamu basi naye ananbweteka/......kwa kuiwa kikwete anaamini zaidi ktk uchawi ndiyo maana watz hawamtaki na hawajamchagua japo kaamua kuiba kura nasi hatumtambui kwani bado anamkakati wa kujisilimisha nchi

Naomba uliza wana forum huyu mchawi wa ccm ameumbuka au bado uchaguzi hautafanyika bongo?
 
hamkumwelewa shikh yahaya huyu sheikh wa waislamu kuwa alimaanisha uchaguzi wa mwaka 2015 kwa hiyo kuweni wapole mtaona tu hapo 2015
 
Back
Top Bottom