Search results

  1. Landcruiser

    Laptop for sale 300,000/= Tshs

    Bado mpyaa samsung mini RAM 2GB HDD 320GB 0788096609
  2. Landcruiser

    Wale tuliosoma advanced mathematics -pure- ni topic gani ilikutoa povu na ipi uliionea

    Bila shaka nyote wazima wa afya. Ningependa wale tuliopiga Pure Mathematics A level...tujikumbushe mambo haya. .Ni topic zipi/ipi ilikuwa ngumu sana kwako na ipi uliionea sana na changamoto zipi zilikukumba Pindi unakabiliana na Pure Maths. Binafsi probability I ,ilinitoa povu mpaka...
  3. Landcruiser

    BABA LEVO: Diamond kaniibia chorus ya my No.1

    Katika sakata linaloendelea sasa kati ya Mwanadada Dayna ,kusema kwamba kaibiwa Mdundo na Diamond, Mwanamuziki mwingine wa Bongo fleva kwa jina Baba levo ameibuka na kusema yafuatayo kwenye akaunti yake ya facebook. ZAMANI nilikuwa nikiskia mtu analalamika kaibiwa wimbo au kaibiwa njia...
  4. Landcruiser

    A DONE DEAL... Liverpool signs chelsea player Victor Moses on a long loan.

    2 Sep 2013 11:05:00 Liverpool have confirmed they have signed Chelsea forward Victor Moses on a season-long loan. The 22-year-old passed a medical at Anfield on Monday and becomes the club's eighth signing of a busy summer of transfer activity for Brendan Rodgers' men. "First and foremost...
  5. Landcruiser

    Leo natembeza "Like" kwa wanajamvi za kutosha.

    Napenda kuchukua fursa hii mimi kama mimi kuwapongeza wale wote walioweza kuchaguliwa kujiunga na Vyuo vikuu na Taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Na pia natoa pongezi, kwa wale wote waliojitolea kwa moyo wote, kukusanya baadhi ya habari zinazohusu Elimu kwa ujumla na kuziPOST hapa ili...
  6. Landcruiser

    Amang'ana

    Amang'ana ghenu.... sikupitaga hapa naomba nikaribishwee. Panga zinaruhusiwa kweli.?
  7. Landcruiser

    University of arusha mzigo umetemwa!!!

    tembelea website yao http://www.universityofarusha.ac.tz/
  8. Landcruiser

    Polisi wamkamata aliyehusika kumuua Billionaire Erasto Msuya.

    Maelezo yote hapa http://kapingaz.blogspot.com/2013/08/polisi-wamkamata-aliyemuua-bilionea.html?m=1
  9. Landcruiser

    Sifa za wakurya.......

    » wapole sana » si wagomvi » hawapigi wake zao » hawakeketi mabinti » hawapendi kupigana » hawavuti bangi » sio polisi wala wanajeshi n.k # unabisha???
  10. Landcruiser

    Nimesahau password ya laptop yangu

    Ntafanyaje wakuu kuna vitu vya muhimu mule ndan
  11. Landcruiser

    Nahitaji kujua bei ya hii gari.........

    naomba kujua bei ya HILUX SURF used na brand new. nitashukuru.
  12. Landcruiser

    Hii sms kuhusu TCU ina ukwel wowote........................ ...............????!?

    Nimepokea hii sms kutoka kwa kwa watu tofauti tofauti sasa sijui kama ina ukweli wowote ,manake hata kwenye website ya TCU sioni hili Tangazo. TCU kwenye tovuti yao wameandika kwamba kabla ya tarehe tisa mwezi huu watatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo isipokua kwa wale...
Back
Top Bottom