Search results

  1. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    Jana jumatatu tulifanya uchaguzi wa raisi wa chuo ambao ulifanyika Kwa amani Na kufikia tamati saa kumi kamili jioni Na muda wa saa nne usiku matokeo yalitoka yakionyesha bwana Edward Kunyara aliibuka mshindi Kwa kuwazidi Kura wagombea wenzake bwana Edward Kunyara Kwa sasa ndiyo raisi wa sokoine...
  2. wilsonilanga

    SUA hatujapata mkopo mpaka sasa

    magufuli raisi wetu waangalie na watoto wetu sua maana tumechoka kuombwa pesa wakati walipewa mkopo lakini cha ajabu mpaka sasa wanadai hawajapata pesa yao ya kujikimu tangu wamefungua chuo ebu raisi wetu magufuli jaribu kuangalia na hilo maana imeshakuwa balaa kwa watoto wetu kwa swala la mkopo
  3. wilsonilanga

    SUA first year students tukutane hapa

    Wanafunzi wa first year sokoine university of agriculture tukutane hapa kubadilishana mawazo naomba kuwasilisha maada
  4. wilsonilanga

    Musoma tech tukutane hapa

    Wale wote tuliosoma musoma tech tukutane hapa. Naomba kuwaslisha
  5. wilsonilanga

    wale wa sua mkopo tayari tumeshapewe

    mungu ashukuriwe maana matumbo yalikuwa joto.Ila majina yanapatikana kwenye website ya sua
  6. wilsonilanga

    heslb

    wale wa sua first year tayari kimenuka loan board imeshawapa mkopo hongeleni vijana mkashindwe kupiga kitabu.Ila nawakumbusha sua siyo mchezo kuna muscle ya ajabu na course work za kutosha
  7. wilsonilanga

    matokeo ya kidato cha nne

    matokeo ya kidato cha nne hatimaye yamekamilika ikionesha kiwango cha ufaulu kikiongezeka ukilinganisha na mwaka jana.haya yamebainika jana kutokana na zoezi la upangaji baada ya kukalika.sasa matokeo haya yatatoka ndani ya mwezi wa pili
  8. wilsonilanga

    selection form five

    serikali Kweli imeshindwa kufanya kazi kwa sababu mpaka sasa hawatoi selection au mnataka tena kuyafuta maana hawezekani mpaka sasa kimya
Back
Top Bottom