Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matokeo ya kidato cha nne

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by wilsonilanga, Jan 12, 2014.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. wilsonilanga

  wilsonilanga Senior Member

  #1
  Jan 12, 2014
  Joined: May 26, 2013
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 8
  matokeo ya kidato cha nne hatimaye yamekamilika ikionesha kiwango cha ufaulu kikiongezeka ukilinganisha na mwaka jana.haya yamebainika jana kutokana na zoezi la upangaji baada ya kukalika.sasa matokeo haya yatatoka ndani ya mwezi wa pili
   
 2. mwekundu

  mwekundu JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2014
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 15,541
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 83
  Source please...au unataka uwarushe watu roho?
  Grade ziko vipi?div 1 hadi divion five ngapi?
   
 3. Davies Davies

  Davies Davies JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2014
  Joined: May 20, 2013
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Source mkuu
   
 4. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2014
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,413
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 48
  Wala msipoteze muda anajifurahisha tu.
   
 5. m

  majalas Son Senior Member

  #5
  Jan 12, 2014
  Joined: Dec 31, 2013
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mpaka Mh DK kawambwa atangaze!

  Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
   
 6. wilsonilanga

  wilsonilanga Senior Member

  #6
  Jan 12, 2014
  Joined: May 26, 2013
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 8
  story ya ukweli lakini hamuna dv five kwa mujibu wa sheria matokeo yatangazwa kabla ya kuisha mwezi wa pili
   
 7. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2014
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 25,115
  Likes Received: 1,202
  Trophy Points: 113
  haya tunsubiri....
   
 8. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2014
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 3,443
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 63
  Big Results Now at work! Si ajabu hakuna Div 5 (Zero) mwaka huu, na hivi mwakani vyama vipo kikaangoni basi ni kulaghai wadanganyika tu mpaka watabasamu.
   
 9. wilsonilanga

  wilsonilanga Senior Member

  #9
  Jan 12, 2014
  Joined: May 26, 2013
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 8
  mkuu kutoa source ni vigumu kwa sababu hii ni siri.kwa wale wanao uliza dv 5 hiyo haipo bali kuna ile iliyozoeleka zero
   
 10. S

  Shomy . I JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2014
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 16
  Kumekucha kuwatia watu presha! Jamani acheni hizo mambo!
   
 11. l

  luckyshman New Member

  #11
  Jan 12, 2014
  Joined: Jan 11, 2014
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuysubi hyo
   
 12. I

  Ikimbu JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2014
  Joined: Jan 7, 2014
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Acha kutudanganya wewe.
   
 13. Dinazarde

  Dinazarde JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2014
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 23,046
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 83
  Siaminiiiii????
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2014
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,776
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 63
  Bigi rizati nao.
   
 15. s

  sydorocky Member

  #15
  Feb 21, 2014
  Joined: Feb 20, 2014
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  LEO mchana matokeo yametangazwa. em ndugu fanyeni mchakato muya upload humuhumu na pdf mtoe kwan vijana wetu wayaone kiuraisi kwan cm za weng hazina uwezo wa kufungua pdf.
   
 16. s

  sydorocky Member

  #16
  Feb 21, 2014
  Joined: Feb 20, 2014
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kidato cha nne.
   
 17. MAWAZO UJENZI

  MAWAZO UJENZI JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2014
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 1,171
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  Net hawajayaweka bado
   
 18. MAWAZO UJENZI

  MAWAZO UJENZI JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2014
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 1,171
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  Kuna mdogo wangu leo tv itakua mama mkwe kwake,no tamthilia
   
Loading...
Similar Threads - matokeo kidato Forum Date
Matokeo ya Kidato cha Nne Jukwaa la Elimu (Education Forum) Feb 26, 2016
Kuna dalili za kuua shule za Serikali baada ya matokeo kidato cha 4 Jukwaa la Elimu (Education Forum) Feb 22, 2016
Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015 Jukwaa la Elimu (Education Forum) Feb 18, 2016
Mwenye taarifa kuhusu kucheleweshwa kwa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2015 Jukwaa la Elimu (Education Forum) Feb 14, 2016
Matokeo ya Kidato cha Pili 2016 Jukwaa la Elimu (Education Forum) Jan 16, 2016
Thread Status:
Not open for further replies.

Share This Page