Search results

  1. F

    Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

    Najaribu tu kujiuliza, kuwa wizara ya kilimo kazi yake ni nini? kwanini wizara isiwasaidie wakulima wake kupata masoko? Nchi tunayosema kuwa watu wake wengi ni wakulima inakuwaje tunakuwa watu wanapewa dhamana hiyo na bado wanashindwa kutengeneza mazingira ya masoko?
  2. F

    Uzalendo haijawahi kupewa kipaumbele kwa viongozi wa juu katika Utumishi wa Umma

    Uzalendo ni hali ya kuwa tayari kufia masilahi ya wengi kuliko kutanguliza masilahi binafsi katika maisha yetu ya hapa duniani. Dhana hii inaweza kuwa na zaidi ya mtizamo wangu hasa katika maisha tunayoishi. Nitoe mtizamo wangu mdogo katika mabadiliko ya Baraza la mawaziri lililofanyika...
  3. F

    Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

    Rais anaongoza nchi yenye mahitaji mengi Sana ya msingi, najua ni vigumu Sana kutimiza hitaji la Kila moja kwa kadri anavyotaka. Cha msingi afanye yanagusa wananchi wake.
  4. F

    Rais Samia, ongeza ukali watakuheshimu

    Dhana ya Utawala bora lazima iambatane na mipaka kwa wakosoaji wa Serikali katika kulifikia lengo lililo jema siku zote. Ni muda Sasa tangu atutoke mwendazake kumekuwa na jitihada za kufifisha maendeleo ya nchi kwa makusudi makubwa Sana kwa baadhi ya wanasiasa. Taifa hili linahitaji busara...
  5. F

    Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

    Kama hafamu huyu Mzee Dialo aulize Kilichomkuta aliyewahi Kusema "CCM imepoteza uelekeo"
  6. F

    Weekend night nimelewa balaa

    Toa msaada hapa Mshana na wengine tujue
  7. F

    Wabunge ndiyo wanastahili kulipa kodi ya uzalendo

    Binafsi nasikitishwa Sana na utendaji wao hasa katika kutatua changamoto katika maeneo yao ya kazi. Kwakuwa wao ndio watunga Sheria, wamejitungia Sheria kuwa na Mishahara kidogo na kuwa na posho nyingi ambazo hazikatwi Kodi ili Mwisho wa mwezi awe na mzigo mkubwa wa kuhonga na kujitanua.
  8. F

    Taasisi za dini hasa za Kikristo zipo kibiashara zaidi

    Imani ni jambo ambalo hupaswi kuigiza au kuingiza siasa ndani yake. Zaidi ni ukweli wa kiimani unajengwa ndani ya roho kwakuamini bila kuwekwa ushahidi wa dhahiri juu ya Hilo. Ukienda kanisani siku ya Jumapili, utakutana na msululu wa michango kwa mwanajumuiya na harambee ambazo wengine...
  9. F

    Rais Samia mifumo mingi ya serikali imelala, asilimia kubwa ya Wanachi tunaumia sana

    Ufanisi wa utendaji katika utumishi wa umma huleta tija hasa katika kukuza maendeleo ya nchi. Dhana hii inachagizwa kwa karibu sanaa na matokeo ya ufanisi katika utendaji hasa katika taasisi asasi za serikali. Aidha uadulifu ni dhana na kiungo muhimu Sana katika kulisukuma gurudumu hili la...
  10. F

    Ni kwa jinsi gani utumishi wa Mbunge hupimwa?

    Dhana ya utumishi wa Uma inaanzia pale mtu anapewa dhamana kusimamia Jambo kwa masilahi mapana ya jamii au wananchi kwa ujumla wake. Dhamana hii huundiwa taratibu na kanuni kwa misingi ya kurahisisha na kusimamia utendaji wa mtumishi kwa ukaribu zaidi. Mheshimiwa mbunge ni mwajiriwa wa wananchi...
  11. F

    Kwanini baadhi ya Wabunge hawaonekani kwenye majimbo yao baada ya uchaguzi?

    Mara nyingi sana binadamu huwa ana tabia ya kusahau. Nyakati zote za uchaguzi mkuu wagombea huwa wanyeyekevu kupita kiasi, lakini mara baada ya kushinda uchaguzi ni nadra sana wabunge kuonekana. Kwenye Majimbo yao wakishiriki kufanya shughuli za kimaendeleo kwenye majimbo yao.
  12. F

    Baadhi ya Wakandarasi Wazawa wanamuangusha Rais Samia

    Kandarasi nyingi hasa za barabara zinafanywa chini ya viwango na wakati mwingine hawana hata vifaaa kwa ajili ya kazi. Hii imepelekea adha na Usumbufu kwa watumiaji wa barabara hizi zinazofanyiwa ukabarati. Mfano kipande cha barabara kutoka Mabibo Mwisho hadi makutano na Morogoro Road...
  13. F

    Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

    CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025. Kiongozi anapaswa kuwa na kifua, sio kila jambo lianikwe tu hadhari. Ndio maana baada ya Mambo mengine kukaa sawa walitangaza.
  14. F

    Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

    CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
  15. F

    Uzalendo wetu uko wapi?

    Uzalendo ni hali ya mtu kuwa na uchungu hasa juu ya nchi naJamii kwa ujumla. Shana hii ni Pana na pengine ilipaswa kufundishwa kwenye shule zetu kwa ngazi zote. Msingi wa hoja yangu ni dhidi ya ubinafsi mkubwa uliojaa kwenye jamii zetu ikiwa ni pamoja na wale wote wenye fursa ya kuhubiri...
  16. F

    British woman dies in Cyprus after AstraZeneca jab

    Ni kweli we Mwanasayansi,SAYANSI ya Matusi.
  17. F

    British woman dies in Cyprus after AstraZeneca jab

    Kachomwe tu shida nini kwani?
  18. F

    Rais Samia Suluhu ni kweli hakuna vijana unaowaamini?

    Kafulila alikuwa mbunge, alikuwa DAS/RAS, je hakuna vijana wengine ambao wanauwezo?
Back
Top Bottom