British woman dies in Cyprus after AstraZeneca jab

Kwenye dawa mtu anajua dawa ipi asitumie itamletea shida fulani, kuna kitu hawataki kukiweka wazi kwenye hizi chanjo na huku kuganda kwa damu.
Ni jukumu la wataalam wetu kufanya uchunguzi ni watu walio na nini wataathirika na dawa hizo!
 
Mazezeta yanaona kufa kwa kuchomwa chanjo ni jambo jema kuliko kukaa salama tulivyo wala hakuna hofu ya corona wala hofu ya side effects za chanjo.
Bahati nzuri ni kuwa mwendazake unayemuabudu amekufa kwa corona sababu ya ubishi wake!
 
unajua ni watu wangap wamekufa mpaka saaahv kwa blood clots under the carpet? unajua ni nchi ngap zmerudisha chanjo kwa oxfam? je unajua chanjo yenyewe ipo against human rights?
Daaa!!Oxfam tena?!!Inahusikaje huku?mimi nafahamu hiyo ripoti ya karibu 0.0004%, ndio wamepata matatizo, hayo unayosema wewe under the carpet ni yako, kama ni under the carpet umeyajuaje wewe, mtu wa SIGIMBI?chanjo ipo against haki za binadamu sijakuelewa?!!acheni hizo hamuoni hata aibu ulaya sasa wameanza kupunguza vikwazo, ili maisha yarudi kama kawaida kutokana na ufanisi wa chanjo hizo, nyie bado mnakomaa tu na mawazo mgando?? Vitamin b complex, tu zina side effects kwa baadhi za watu sembuse chanjo?!!
 
Kwenye dawa mtu anajua dawa ipi asitumie itamletea shida fulani, kuna kitu hawataki kukiweka wazi kwenye hizi chanjo na huku kuganda kwa damu.
Sasa hiyo dawa utaijuaje kuwa kwako ina side effects bila kwanza kuitumia ndio ukafahamu?!!acha kupotosha hizo ni fani za watu, moja ya madhara ya kirusi cha COVID 19, ni kugandisha damu mwilini!!kwani lazima kuchanja?wewe subilia hiyo chanjo ya NIMR, ambayo kila kitu kitakuwa wazi(limao+pilipili+tangawizi+mkojo wa ndezi)
 
Ni kukua kwa teknolojia au watafiti wamejikita kutoa majibu kwa wakati mpaka kinga hii ya corona kupatikana kwa haraka kiasi hiki?.
Yote mawili yanaweza kuwa ndio yamechangia, na jingine la muhimu kabisa ni kutokana na waathirika wakubwa ni hao(wazungu)ambao kila rasilimali fedha na watu wanayo wao!!na serikali zao kukubali kutoa fedha nyingi kwenye tafiti za ugonjwa huo, kwenye makampuni husika, ndio maana unasikia asilimia 75ya chanjo zote zinamilikiwa na nchi 10 tu!!EU, ilitishia kuishitaki kampuni ya Astrazenica kwa kuanza kuuza chanjo kwa nchi nyingine nje ya umoja wa ulaya, wakati wao ndio waliwezesha kutoa pesa nyingi kufadhiri tafiti zao!!
 
Daaa!!Oxfam tena?!!Inahusikaje huku?mimi nafahamu hiyo ripoti ya karibu 0.0004%, ndio wamepata matatizo, hayo unayosema wewe under the carpet ni yako, kama ni under the carpet umeyajuaje wewe, mtu wa SIGIMBI?chanjo ipo against haki za binadamu sijakuelewa?!!acheni hizo hamuoni hata aibu ulaya sasa wameanza kupunguza vikwazo, ili maisha yarudi kama kawaida kutokana na ufanisi wa chanjo hizo, nyie bado mnakomaa tu na mawazo mgando?? Vitamin b complex, tu zina side effects kwa baadhi za watu sembuse chanjo?!!

hakuna ubaya katika kuongelea waliopoteza maisha kupitia hizi chanjo na pia kuna mengi sana unatakiwa kujua ukiachana na hizi main stream media! kuna mambo ambayo watu wakiamua kuyafunguka ni ugomvi mkubwa
 
Sasa hiyo dawa utaijuaje kuwa kwako ina side effects bila kwanza kuitumia ndio ukafahamu?!!acha kupotosha hizo ni fani za watu, moja ya madhara ya kirusi cha COVID 19, ni kugandisha damu mwilini!!kwani lazima kuchanja?wewe subilia hiyo chanjo ya NIMR, ambayo kila kitu kitakuwa wazi(limao+pilipili+tangawizi+mkojo wa ndezi)
Upande wa dawa zipo dawa ambazo zinajulikana kabisa hazifai kutumiwa kwa watu wa aina fulani au wenye maradhi fulani, hilo nadhani unalijua sasa na hizi chanjo kama zina sababisha kuganda damu kwa makundi fulani ya watu bora kuweka wazi kuliko kuendelea kusema ni wachache sijui kila dawa ina side effects.
 
Sasa hiyo dawa utaijuaje kuwa kwako ina side effects bila kwanza kuitumia ndio ukafahamu?!!acha kupotosha hizo ni fani za watu, moja ya madhara ya kirusi cha COVID 19, ni kugandisha damu mwilini!!kwani lazima kuchanja?wewe subilia hiyo chanjo ya NIMR, ambayo kila kitu kitakuwa wazi(limao+pilipili+tangawizi+mkojo wa ndezi)

ebu chukua hata dakika moja kufikiria hawa waliopoteza ndugu zao kwa kuaminishwa chanjo ni salama! we unadhan wako katika kipindi gan saaahv? let people speak
 
mbna zmeorodheshwa mapema kabisa kabla hazijaanza kutumika! wewe utengeneze dawa ya kutibu mafua alafu iue mtu nani atakuelewa? anyway unakaribishwa pia kununua hisa astrazeneca

1621929368497.png
 
Bahati nzuri ni kuwa mwendazake unayemuabudu amekufa kwa corona sababu ya ubishi wake!
Heri yako wewe maana wewe ni mwerevu sana utaishi milele,maana unajua kujilinda.
Ndiyo maana Ulaya na Marekani hakuna aliyekufa maana walitengeneza chanjo,wakachanja watu wao na ndo maana hawakuwa na lockdown.
 
Mbona hilo ni jambo la kawaida tu kutokea kama side effect ya dawa kwa baadhi ya watu. Hata matibabu ya malaria kwa kutumia dawa zilizo na sulfur baadhi ya watu waliathirika sana kwa kubabuka mwili mzima na kusababisha vifo. Lakini wengi wameendelea kutibiwa na dawa hizo kwa mafanikio makubwa!
Kachomwe tu shida nini kwani?
 
Sijakuelewa.
Ni kwamba hata katika familia yako kuna watu ambao walipokunywa chloroquine waliwashwa mwili mzima, wengine walishindwa kuona vizuri na wengine hawakupata athari zo zote. Hivyo na wazi tunatofautiana kimaumbile na genes. Sasa wataalam wetu watueleze ni watu gani chanjo hizi zinawafaa na nani haziwafai.
 
Heri yako wewe maana wewe ni mwerevu sana utaishi milele,maana unajua kujilinda.
Ndiyo maana Ulaya na Marekani hakuna aliyekufa maana walitengeneza chanjo,wakachanja watu wao na ndo maana hawakuwa na lockdown.
Hiyo ni philosophy ya watu wafu kama wewe!
 
hakuna ubaya katika kuongelea waliopoteza maisha kupitia hizi chanjo na pia kuna mengi sana unatakiwa kujua ukiachana na hizi main stream media! kuna mambo ambayo watu wakiamua kuyafunguka ni ugomvi mkubwa
Niambie ni chanjo/dawa gani ambayo haiwezi kuwa na side effects kwa baadhi ya watu?kuna zile dawa za malaria fansida, wakati ndio zimeingia nchini watu wangi sana walibabuka miili!!hayo mambo gani ambayo mnayajua hamtaki kufunguka?ila yasije kuwa kama hayo ya mchungaji Gwajima!!
 
ebu chukua hata dakika moja kufikiria hawa waliopoteza ndugu zao kwa kuaminishwa chanjo ni salama! we unadhan wako katika kipindi gan saaahv? let people speak
Samahani lakini , hivi una ufahamu wowote wa mambo ya tiba?!!kwa hiyo chanjo/dawa ikitumika kutibu watu milioni 20, watu 60, 000 tu miongoni mwao wakapata madhara utasema kuwa dawa /chanjo hiyo sio salama?daktari anapomfanyia mgonjwa operesheni bahati mbaya akafariki huwa ni kosa la jinai kwa dr, au anakuwa hajasoma?!!waulize waarabu/baadhi ya nchi za kiislam kwenye chanjo ya polio baada ya kuwa na misimamo ya kijinga, nini kiliwakuta kwa watoto wao?ndio maana hujalazimishwa kuichanja!!

Back
Top Bottom