Search results

  1. limbende

    NMB Mobile haipatikani

    Wandugu habari za leo Samahan NMB Mobile Application inaniambia huduma hiyo kwa sasa haipatikani vipi wenzangu na nyie uko hivihivi au mim mtu. Msaada tafadhali kwa anaejua
  2. limbende

    Napata hofu nikitembelewa na rafiki wa kike

    Nikitembelewa na rafiki wa kike nakuwa na hofu sana hata performance inapotea tatizo nini au dawa yake nin msaada mwenzenu nimenaswa.
  3. limbende

    Tanzania safari channel

    Wakuu nadhan hamjambo Naomba Msaada wa kujua jins gan nitaona safari chanel kwenye simu Kama TV zingine maana nikiingia kwenye download application ya tbc siipati msaada wenu kwa wajuaji hili. Kuuliza si ujinga Asanten
  4. limbende

    Msaada

    Naomba msaada kufahimishwa nahitaji nione ligi ya drc natakiwa niwe na kisambuzi gani wandugu, najua watakuja waelewa Sana na kunitoa akili lkn mjinga hakosei Sent using Jamii Forums mobile app
  5. limbende

    TETESI: Dangote kuinunua Yanga

    kuna nyepesi nyepesi kwamba Billionea Aliko Dangote kuinunua club ya Dar young African, na hii inasemekana imetokana na ushawiwishi wa mwanachama na shabiki kindakindaki wa watoto wa jangwan yaan mzee wa msoga.Hii itakua habari njema sana kwa fans wa Dar es salaam Young African
  6. limbende

    Ndayiragije: Nipeni mimi Yanga hiyo

    Nipeni Mimi yanga hiyoo,hayo ni maneno ya kocha wa mbao,kwakwel hata mie naunga mkono huyu jamaa ni kifaa sana
  7. limbende

    Mtaalam wa saikolojia msaada please

    Habari wakuu,, naamin bado tuko wazima wa afya ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.namba niende kwenye mada moja kwa moja.Wakuu nina matatizo yafuatayo 1:hasira za haraka 2: kugomagoma ovyo 3:kukaa peke yangu muda mrefu na mwisho 4: najikuta naongea peke yang na kujijibu,, na 5: ni MTU wa...
  8. limbende

    Dstv ndo kusema inaonyesha ligi ya EPL tu.

    Habari wakuu,, mim ni mdau mkubwa wa Dstv nina miaka sita natumia,miaka iliopita Dstv walikuwa wanaonyesha lig mbalimbali,sasa msimu nimelipa kifurushi cha 122,500. Hivi ni kwel Dstv haionyeshi lig zingine? Na je ntawezaje kuona lig kama Bundesliga? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. limbende

    Mguu wa kushoto unatoa maumivu makali

    Wakuu naamin mko salama,naomba msaada tatizo langu ni mguu wa kushoto yaan ni kama unawaka moto kwenye kisigino na kanyagio,Nina miez mitatu ila sasa nahisi kuongezeka maumivu.msaada tafazal Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  10. limbende

    Wakuu tusaidieni japo tuweze pata access ya Chanel nyingne ndan ya azam tv

    Wakuu msaada hata kama kuna link yoyote ili tuweze angali japo final ya kombe la shirikisho maarufu kama mabara
  11. limbende

    Msaada: Gari inawaka ila taa zote haziwaki na pia inapiga sailensa

    Wakuu gari nawasha sasa hivi inawaka ila taa zote haziwak na pia inapiga sailensa,msaada wako tatzo nn gar ni brevis
  12. limbende

    Samsung imegoma

    Wadau msaada tafadhal Samsung TV haitak kuonyesha picha na inawaka na kuandika Samsung tuu, msaada tafazal Nakosa mech mwenzenu
  13. limbende

    Msaada duka gani dar naweza pata becozinc capsule

    Wadau habar,naomba mnisaidie WAP naweza pata becozinc g capsule.tafazal naomba msaada
  14. limbende

    Tiba ya MTU alieacha kutumia marijuana

    Assalaam alekhum wadau,nna mdogo Wang katumia sana tumbaku kubwa,sasa kaacha,swali je dawa gan atumie ili atoe sumu ya kilevi hicho,msaada wenu tafazal.
  15. limbende

    Msaada wakuu

    Nna shida dawa iitwayo NITRIC OXIDE BOOSTER inapatikana wap na tshs ngap msaada tafazal
  16. limbende

    mwisho wa matatizo

    hamjambo jamvin hapo,ni dawa ipo kiboko ya minyoo ambayo ni zaidi ya albendazol
  17. limbende

    Disco lavunja ndoa yangu jamani.Mnishauri

    Jamani wanajamvi hamjambo! Mwenzenu yamenikuta,ninampenzi wangu wa muda mrefu na tulikubaliana tufunge ndoa mwezi wa kumi mara tu nimalizapo ujenzi wa nyumba ya kuishi, Kila siku namkataza asiende disco lakini mwenzangu kuna wakati anatulia lakini sasa amefikia hatua ikifika jumatano...
  18. limbende

    Msaada

    Bs Negative maana yake nini nyie madr?
  19. limbende

    Anapenda disco

    Wanajamvi naomba mnisaidie nina mchumba nataka kumuoa lakini nagombana kila siku kwa kumkataza kwenda club lakini cha ajabu anajigombanisha ili aende disco na pia anakaa karibu na club, Sasa sijui nifanye nin ili niweze kumwachisha kwenda club bado nampenda sana,nisaidieni na nahtaji ushauri...
  20. limbende

    Hofu

    Naomba kuuliza kwa wataalam wa saikolojia; hofu na moyo kwenda kwa kasi kabla ya kukutana kimwili ambayo hupelekea hata penis kutosimama imara yaan kawaida yake.
Back
Top Bottom