Search results

  1. T

    Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

    Jibadilishe uwe mwanamke na wewe. Nitakununulia gari.
  2. T

    Wakatoliki watakiwa kuisoma Katiba pendekezwa

    acha ujinga wewe. Piga mwenyewe kura ya ndiyo. Mjinga wewe.
  3. T

    Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    wewe mwenyewe ni mjinga mjinga, hata kuandika ni shida. Angalia serikali ulivyoiandika. Hufuati alama za uandishi halafu unajiona mjanja.
  4. T

    Serikali mnawanyonga Walimu!

    Wewe ulifundishwa na walimu wa wapi? Daraja la 5.
  5. T

    Serikali mnawanyonga Walimu!

    Kudahi au kudai. DARAJA LA 5.
  6. T

    Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania 2015?

    lowasa anafaa kuwa rais 100%
  7. T

    UDOM kuna hatari ya waalimu kugomea mitihani, UTAWALA unafanya nini!

    sasa ndiyo umeandika nini? Hujitambui wewe!
  8. T

    CCM kwanini tunapata upinzani mkubwa kwenye Vyuo Vikuu?

    acha uongo wewe, kasomeshwa kwa hela za walipa kodi. Wenye vyama na wasio na vyama.
  9. T

    TANGAZO LA MDAHALO WA KATIBA - Changamoto za Mchakato wa Katiba mpya

    hivi wewe mpaka sasa hujui umuhimu wa katiba inayowabana viongozi?
  10. T

    Anayehitaji kwenda mtwara mjini kubadilishana na dodoma

    nipo mpanda mjini idara ya sekondari, nataka kuhamia shinyanga mjini au tabora mjini. Tuwasiliane 0712910730.
  11. T

    Mgogoro L. Nyasa, Kushindwa kwa Uchaguzi Joyce Banda:CONNECT DOT

    Kama angekuwa anaongoza yeye katika uchaguzi huo, sidhani kama angefuta uchaguzi. Lakini anajidanganya. Mimi naamini Wamalawi wana hasira naye, hata hao wanaomwunga mkono, wamemwona wa ajabu.
  12. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa sekondari katika Halmashauri ya Mji Mpanda, atakayekuwa tayari kubadilishana kituo cha kazi, kutoka Nzega mjini au Shinyanga mjini. Piga 0712910730.
  13. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwalimu wa sekondari nipo Halmashauri ya Mji Mpanda, atakayekuwa tayari kubadilishana, kati ya Nzega au Shinyanga Mjini, PIGA 0712910730.
  14. T

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    wameshatoa ndugu yangu. Ingia tamisemi utaona.
  15. T

    Picha: CHADEMA yavuna mamia ya wanachama Nzega, Dr. Slaa aitikisa Nzega

    siyo kweli. Nilikuwepo kwenye mkutano wa CHADEMA NZEGA, watu walikuwa nyomi.
  16. T

    ongezeko la mishahara.

    Hakuna kitu kama hicho, subiri mwezi wa saba utapata majibu sahihi.
  17. T

    Kubadilshana kituo cha kazi

    Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi. Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo halmashauri ya mji mpanda, nataka kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka shinyanga mjini, atakayependa kufanya kazi halmashauri ya mji mpanda. Mawasiliano:- 0784914677
Back
Top Bottom