Search results

  1. P

    Angalia hizi barabara

    Planning!
  2. P

    Blackberry z10-Msaada

    Ngoja nifanyie kazi hili. Hii simu ina-bore sana!
  3. P

    Blackberry z10-Msaada

    Hii inaweza kuwa sababu!
  4. P

    Blackberry z10-Msaada

    Sawa mkuu kama kuna mtu ameweka line ya voda ikafanya kazi naomba maelekezo tafadhali, nimeweka Voda imekataa.
  5. P

    Blackberry z10-Msaada

    Ok, nimeingia kwenye BB world na kwenye hiyo link pia, bado inaleta the same error! Na bado nadhani ni original, sababu nililetewa na mtu ambaye aliinunua siku mbili baada ya kutolewa, tatizo ninalolipata bado nadhani ni network! Inakata sana na pia sometimes inaandika insert simcard! Nadhani...
  6. P

    Blackberry z10-Msaada

    Ok, mwezi wa nne nilienda hapo na tigo pia, hawakuwa nazo na walikiri haziko supported na simcard zao, kama sasa wameleta ntapita, asante sana Mkuu.
  7. P

    Blackberry z10-Msaada

    Nadhani hiyo inaweza kuwa sababu, hizi simu zinakubali simcard za airtel tu, sasa mtandao wa airtel naona hauko stable sana kwa hii simu, unakatakata sana, asanteni sana naendelea kujaribu.
  8. P

    Blackberry z10-Msaada

    Inafika mwisho kwenye ku download then inaleta ujumbe '' error installing application"
  9. P

    Blackberry z10-Msaada

    Asante mkuu ngoja nijaribu
  10. P

    Msaada wa haraka:- Ni simu gani inaweza kuwa na sifa hizi.

    Jaribu iPhone 4 au 5 bei ni around 1m.
  11. P

    Ajali imetokea muda huu Ubena, ni MJ ya Dar- Kondoa

    Tunawaombea wote heri waliopatwa na ajali hiyo!
  12. P

    Blackberry z10-Msaada

    Naomba msaada kwa anayejua kuhusu hii simu, hasa katika ku-download applications mfano whatsapp, kila link inanikatalia, nitashukuru kwa ufafanuzi.
  13. P

    Hodi

    Hodi humu!
Back
Top Bottom