Search results

  1. M

    Matumizi ya condoms

    Kwa kweli kuna swala linaumiza kichwa sana nimejaribu kuuliza baadhi ya watu,wanaume na wanawake na ningependa tujadili na hapa. Kwa sasa watu wengi hawapendi kutumia condoms katika mapenzi je ni kuaminiana kupita kiasi au ni vipimo vya macho. Unakuta watu wanakutana mara ya kwanza wanaanza...
  2. M

    Sehemu gani za kutembea jiji la Mwanza

    Swala la pesa ni za kawaida.vivutio vya kitalii na sehemu ambazo unaona madhari mazuri ya mwanza.
  3. M

    Tazama picha hizi zinavyoleta mauzi kwa wahusika

    Daah. Kufungwa wamefungwa na hela wamekosa.sasa watamfukuza Maximo ila ni rafiki wa raisi
  4. M

    Sehemu gani za kutembea jiji la Mwanza

    Wadau naomba kuuliza ni sehemu gani za kutembelea ukiwa jiji la Mwanza, haswa ukiwa na familia
  5. M

    Uyatima mtu unamuishia akiwa na umri gani?

    Kazi ipo.Kumbe unaweza kuwa yatima then mjane mmmh.
  6. M

    Majina ya kizungu yalivyoharibiwa na waswahili

    Carry and go=kariakoo Memorial= Maimoria Key gomaa= Kigoma [from fiesta]
  7. M

    Mwanangu ana mwandiko mbaya

    Daah.kweli akili za mbayuwayu.gereji za sasa ni za kisomi kamanda.
  8. M

    Mwanangu ana mwandiko mbaya

    Kweli nakubaliana nanyi wadau mliochangia.ni wazi kabisa elimu ya sasa sio kabisa na nadhani hizi shule zipo kibiashara zaidi ns sio kutoa huduma.shule yenyewe ni St . Patrick sakina kwa Idd
  9. M

    Mwanangu ana mwandiko mbaya

    Kuna tatizo kubwa sana linanisumbua juu ya mwanangu shuleni. Yupo class one na ni shule nzuri tu tena English medium.Tatizo ni kwamba mwandiko wake ni mbaya kupitiliza, sasa nashindwa kuelewa walimu hawaoni au wako busy? Swala la pili ni kuwa shule tunalipa ada kubwa tu lakini bado unaambiwa...
  10. M

    Sehemu gani safi kwa kula raha bukoba

    Nashukuru wakubwa nategemea safari yangu kuwa safi pande hizo.
  11. M

    Sehemu gani safi kwa kula raha bukoba

    Daah. Mbona sipati mwongozo.
  12. M

    Sehemu gani safi kwa kula raha bukoba

    Wadau nina safari ya siku mbili ktk mji wa bukoba wkend hii wapi sehemu safi kula bata.
  13. M

    Lugha chafu kwenye vyombo vya usafiri.

    Hivi jamani hichi kizazi kinakwenda wapi? Kuna watu me nasema wamekua na tabia sio za kistaharabu hasa sehemu ambazo kuna watu wa rika tofauti.me nimekutana nayo kwenye basi.jamaa flani wanaongea kwa sauti mambo ya ndani kabisa tena matusi bila kuangalia kule kwenye gari kuna watoto na wazee...
  14. M

    Kufanya mapenzi na kimada nyumbani kwako

    Wadau hii imekaaje kwa wale wapenda michepuko, unanyumba unaishi na familia yako then labda wanasafiri una mpeleka kimada wako na una lala nae na kufanya mapenzi kwenye kitanda kile kile unacholala na mkeo. Au upo mbali na familia kikazi lakini una chumba au nyumba na mkeo huwa anakuja...
  15. M

    Hivi ni kushuka kwa elimu ni uzembe wa watoto?

    Wakuu vijana wapo shule nzuri tu english medium.jina naifadhi kidogo na ipo arusha maeneo ya sakina.
  16. M

    Hivi ni kushuka kwa elimu ni uzembe wa watoto?

    Wadau hii me naona inanichosha.Wazazi tunatumia hela nyingi kusomesha watoto tution na gharama kibao za vitabu na vifaa vingine,bado ukija nyumbani ukifanya homework na mtoto ni madudu matupu.Mwandiko na uelewa ni hovyo kabisa. Naomba ushauri jamani au walimu wa siku hizi wako busy hata watoto...
  17. M

    Kuitwa mwanaume si mchezo

    Kamanda kama upo ktk ndoa na nitegemezi ilihali upo safi kiafya looh.kazi ipo.bt kama bado kijana na haujaingia ktk hayo majukumu vuta subra mda utafika ndio utaekewa nn namaanisha.
  18. M

    Kuitwa mwanaume si mchezo

    Wangekua wasaidizi hata hizi kelele usingesikia.hela au kipato cha mke hakijulikani kinapokwenda kamwe.hata kiberiti kwao shida kununua.Nawapongeza sana wanawake wanaojitambua licha ya kuwa ni % chache sana.
  19. M

    Kuitwa mwanaume si mchezo

    Kwa kweli kuitwa mwanaume hasa wale walioko kwenye ndoa au familia si mchezo Ada,chakula,matibabu,mavazi,mapambo ya nyumbani,kiwanja,gari,nyumba na tena kuudumia kamchepuko looh. Kweli ndio sababu wengi pressure zinatudondosha.
  20. M

    Nini kinamfanya mwanaume kuonekana kicheche?

    Unaweza ambiwa wewe kicheche but haujaoneka na mabinti wala nini.Sasa najuiliza nini hasa kinachofanya man uonekane kicheche?
Back
Top Bottom