Search results

  1. Mhindih

    Nataka kuacha kazi, biashara gani inalipa kutoka Tanzania kwenda Malawi na Zambia?

    Ni sawa lkn tambua mtaji wako ni mdogo Sana.. Biashara za kuvuka border ni ngumu. 6 m hiyo ni ushuru tu na tozo mbalimbali. Vinginevyo ongeza mtaji walau 20 m kisha jilipue. Thanks in advance
  2. Mhindih

    Nataka kuacha kazi, biashara gani inalipa kutoka Tanzania kwenda Malawi na Zambia?

    Nakushauri vumilia changamoto za kazi na endelea na kazi usiache. Huo mtaji ulionao chukua frem karibu anzisha biashara inayolipa kitaani kwako. Iko siku kazi na biashara yako vitakulipa pakubwa.
  3. Mhindih

    Natafuta kazi, nina degree ya manunuzi na ugavi

    Kwamba watu wa dodoma hawawezi kufanya kazi au?
  4. Mhindih

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Daaah sijui nimechelewa.. Nahisi kushawishika hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mhindih

    Simtank for sale

    Nimechukulia au bado? Unapatikana wa? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mhindih

    Kama una tatizo la kukosa furaha, hofu na maumivu kwenye moyo pitia hapa

    Baba hiyo ni choya mambo ya rosella utawachanganya wengi sie wa bushi ni kama Chai. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mhindih

    Hili jambo limeniumiza sana

    Tatizo tukipta wenza tunadharau wazazi wetu... Either sisi au Hao wenza wetu. Jitathmini wapo ulioikosea muombe radhi mama. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mhindih

    Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

    Mcheki Nyambui Mtanzania kocha wa timu ya Taifa ya Brunei Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
  9. Mhindih

    Hii petrol station ni ya Ridhione?

    Kama ni Lake haojakosea
  10. Mhindih

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Hongera sana... Nimetamani kukufahamu zaidi sijui kwa nn tu
  11. Mhindih

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Nimekupenda Bure Clkey
  12. Mhindih

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Hongera kwa hilo.. Kumbe tuko wengi vipepeo Weusi big up sana
  13. Mhindih

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    The bold usishangae episode za kwenye group zote ukazikuta humu tena mtu kaanzisha na thread yake.. Hivyo ikawa group na thread yake viko episode inayolingana. Na hii yako ndio ikafia hapo kifo cha mende.
  14. Mhindih

    Wanajeshi na UKIMWI

    Siku hizi box za kondom hakuna..
  15. Mhindih

    Anataka nimpe mimba azae na mimi ila ni mkubwa kwangu

    Hakuna mwanamke mkubwa bana.. Piga kazi acha maneno.!!
  16. Mhindih

    Nimekosa mwanaume 'serious'

    Weka picha yako kwanza.. Tuanzie hapo
  17. Mhindih

    Mpenzi wangu analiwa na jini, naomba msaada

    Jini halibebeshi mimba.. Komaa nae tu
Back
Top Bottom