Search results

  1. B

    Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

    Kwa mujibu wa kitabu chake alichoandika kihusucho Sustainable Development in Tanzania, inaonyesha Askofu amesoma vyuo Vikuu vifuatavyo: UDSM, Makumira, Copenhagen, Tubingen na Chicago. Kitabu chake kimejikita kwenye uchumi na maendeleo.
  2. B

    Uwepo Lengai Ole Sabaya katika wilaya ya Hai ni tishio jipya kwa uhai wa CHADEMA

    Yaani hili lina maana kwamba: DC, DED, DAS, Katibu wa CCM wa Wilaya, Katibu Mwenezi, Makatibu wa UVCCM, UWT, Wazazi, ongeza na OCD, DSO na wa PCCB, wote hawa wanapambana na mtu mmoja anaitwa Mbowe huko Hai na bado hawana uhakika kama watamshinda!? Kweli CDM ni hali ya hewa si mtu.
  3. B

    Rekodi huwekwa na kuvunjwa. Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na Spika wa Bunge aliyevaa itikadi

    Rekodi huwekwa na kuvunjwa. Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na Spika wa Bunge aliyevaa itikadi ( Partisanship) kama Spika Ndugai. Spika huyu anakipendelea chama chake kuliko hata Mwenyekiti wa chama chake au hata kuliko Katibu Mwenezi. Nadharia ya uhuru wa bunge kama mhimili inatiwa doa la...
  4. B

    Uzalendo wa wanasiasa wote Tanzania ni wa mashaka siri zao nje nje

    Nijualo ni kuwa huwezi kuwa mpinzani nchi hii ukiwa na yafuatayo: Uraia tata, mali zisizo na chanzo halali, rekod wazi za ulipaji kodi, rekodi wazi ya makosa ya kijinai. Wanaoruhusiwa kuwa na makandokando hayo ni wana CCM tu. Uliona mtu yuko upinzani ni dalili kuwa yeye ni msafi.
  5. B

    Ujumbe wa wa leo kwa watanzania wenzangu na hasa wale wenye mamlaka

    Ethiopia ina one of the best airline in the continent. Ina reli ya umeme. Lakini polisi wetu na uhamiaji kule Morogoro, Kilimanjaro, Songwe n.k wanakamata mamia ya wahamiaji haramu wanaoenda bondeni kutafuta maisha na uhuru. Tusibeze alichosema Salary Slip na alichosema Jaji Sam. Uhuru hauna...
  6. B

    Dk. Willem Jacobs: Hatutakiuka makubaliano yoyote tuliyoweka na Tanzania katika malipo

    Mbona mkutano huu haukuwa LIVE kama alivyofanya kwa viongozi wa dini na watu wa madini?
  7. B

    Analysis ya Kilichoendelea Kimara katika ufunguzi wa 8 lane road: Mheshimiwa rais hauko sahihi kwenye mambo mengi!

    Jambo moja asilolijua rais wetu na wasaidizi hawamwambii. Kuwafidia wananchi waliobomolewa ni uwekezaji mkubwa kwa nchi. Ni stimulus package ya uchumi. Wafidiwa watanunua saruji, nondo, chokaa, na vifaa vyote ili kujenga. Fedha hiyo itarudi serikalini kwa njia ya kodi mbalimbali zitakazoibuka...
  8. B

    Kosa lililowafukuzisha Zitto na Prof Kitila CHADEMA ni jepesi kuliko Walilosamehewa Kubenea na Komu!

    Ni kweli lakini Kitila na Zitto hawakukiri kosa. Kubenea na Komu wamekiri.
  9. B

    Kutekwa MO: Viongozi wa Serikali waliohojiwa wakae kando kupisha uchunguzi, CCM lazima ijitofautishe na CHADEMA!

    Hili sakata la utekaji wa MO lina sura nyingi na ninatabiri litakuja kuleta harufu mbaya: -Wasiojulikana kabisa wanapoteka, mtu hapatikani (Ben Saanane na Azory nk) -Wasiojulikana lakini "wanajulikana", wanapoteka, mtu anarudi (Roma, MO) -Tuhuma za kumhusisha mkulu moja kwa moja/Uso kwa uso na...
  10. B

    Waliohama CHADEMA ili kuunga mkono juhudi waanza kuomba kurudi

    Kurudi warusi lakini sharti liwe moja tu: Waeleze mkakati mzima ulivyokuwa ili tujue ukweli wote. Tukiambiwa walinunuliwa, tuachane kabisa na jitihada za kupambana na rushwa. Tukiambiwa walitishwa, tuachane kabisa na ndoto za tume huru ya uchaguzi. Tukiambiwa walishawishiwa, watuambie...
  11. B

    Komrade Kinana nakuandikia hili kutoka moyoni mwangu.!

    Mimi naweza kusema; Kinana alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu, alikuta CCM ni chama cha Viongozi. Akakiondoa huko na kukifanya chama cha wana CCM. Akaweka kanuni kuwa madhambi ya serikali si madhambi ya CCM, na madhambi ya viongozi wa CCM, si madhambi ya CCM. Hili alilifanya. Bashiru Ali na...
  12. B

    Dk. Benson Bana anena kuhusu kauli ya Katibu Mkuu wa CCM: Suala la watu kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni hiari

    Huyu naye basi tumuache. Bahati mbaya wote ni Nshomile. Ila Benson ajue kuwa, CCM hata wanaposhinda, wanajishangaa walivyoshinda. Wagmbea wao ukiwauliza wameshinda vipi, hata wao wanashangaa na kukuelekeza umuulize Polepole.
  13. B

    JK Nyerere: Watu wetu wanahitaji freedom, hawahitaji udikteta

    Sawa tumekusikia. Pamoja na ubaya wake, Nyerere alidiriki kuyasema haya. Waambie hawa wa sasa tuwaone wakisemea juu ya haki za binadamu. Itasaidia sana kuwasikia angalau wakitueleza juu ya msimamo kuhusu uhuru, maendeleo na haki za binadamu. Tunachokiona sasa: -Hawataki hata kuchorwa kwenye...
  14. B

    Sera Mpya ya ardhi, Kaburi jipya la CHADEMA

    Sasa kuna vita, je imesababishwa na nini? Na hata ingetokea, si kuna vyombo vya kuzima? Mbona maandamano ya Mange yalizimwa nchi nzima? Mimi nadhani kinachomaanishwa, madini yakigundulika, kunakuwa na majadiliano kati ya serikali/Mwekezaji na mwenye mali, yaani mwananchi. Kuna ubaya gani?
  15. B

    Napinga Barabara za umma kupewa majina ya watumishi wa umma

    This is the fundamental question. Jina la jengo la umma, barabara, mtaa, kituo, n.k kutolewa kwa mtu, tena binafsi asiye kiongozi wa kuchaguliwa, huwa ni mchakato. Kwenye serikali inaandaliwa mpaka cabinet paper. Siyo mtu kuamka na kurusha jina kana kwamba unabatiza paka wake. Kuna kitu kati ya...
  16. B

    Tunaendelea kumuonea aibu, kumlinda na kumsitiri

    Maneno ya Salary Slip msiyabeze. Kuna overreach za ajabu. Mbunge kutokwenda bungeni si suala la rais kumuuliza au hata chama chake kumuuliza in public. Yeye kama Mwenyekiti wake akaumuulizie huko kwenye chama. Utoro wa mbunge unashughulikiwa na Spika kwa kutumima kanuni za kibunge. Masuala ya...
  17. B

    Rais Magufuli: Maendeleo hayana vyama, hamieni huku kama Waitara tulete maendeleo!

    Kuna kundi liliwahi kusema kauli ya "Maendeleo haya chama" inadhalilishwa na wakahoji, "Kama hayana chama mbona wana watu wanahama vyama ili kuleta maendeleo? Hawajahi kujibiwa. Mimi nadhani wasaidizi wake Kipenzi wamsaidie ili aelewe kuwa logic anayotumia inamfanya aonekane ni kichekezo hata...
  18. B

    Make Tanzania Great Again (MATAGA)

    MATAGA yaweza pia kuwa MAKE TANZANIA GNASH AGAIN
Back
Top Bottom