Search results

  1. Keynez

    Unazungumzia CCM ipi?

    Bandiko linaeleweka. Dirisha la kuitikisa CCM baada ya kuondoka kwa Magufuli lilikuwa mwaka 2021 na kidogo 2022. Kwa kuruhusu wajipange upya na kurudi kwenye "comfortability" waliyofikia sasa, ni ngumu tena wale pro-Magufuli ndani ya CCM kuleta madhara ya kisiasa. Hawa pro-Magu wataendelea...
  2. Keynez

    Historia itakukumbuka Mbowe kwa kuyasaliti Mageuzi

    Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo...
  3. Keynez

    If you take care of things, they last

    Sky Eclat naomba tuwasiliane kwa inbox. Nashindwa kukutumia msg.
  4. Keynez

    MWANA FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

    Fanya wewe sasa uone kama elimu yako itatambuliwa.
  5. Keynez

    TAZARA inahujumiwa na viongozi?

    Nadhani una ufahamu mdogo kuhusu kinachoongelewa hapa.
  6. Keynez

    Mwigulu ni Daktari wa Uchumi, Inakuaje tatizo la ajira kwa vijana linamtoa jasho? Inakuwaje ugumu wa maisha mtaani unamtoa jasho?

    Suala la ajira halijawahi kuwa kipengele muhimu kinachozingatiwa katika ukuaji au kuanguka kwa uchumi wa nchi hii. Ndiyo maana hata ajira unazoziongelea ni zile za serikalini wakati wote tunajua watanzania wengi wako nje ya mfumo wa ajira za serikali lakini hawatoagi taarifa zozote kuangalia...
  7. Keynez

    TCRA fahamuni kuwa Watanzania ni waelewa kuliko mnavyodhani

    Hata hapa TZ hatushindwi kuwa na bando hizo kwa gharama hizo hizo. Ni uroho, tamaa, roho mbaya na kutaka kuwabana wananchi wasiwe na uhuru wa kupata habari kwa urahisi. Ni mahusiano yasiyo na maadili kati ya makampuni na watawala. Hatuna mtetezi katika hili na kibaya zaidi wananchi hatuna umoja.
  8. Keynez

    TAZARA inahujumiwa na viongozi?

    Unadhani hujuma kwa TAZARA ikifanyika itakuwa inafananaje?
  9. Keynez

    Ziara ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango mkoa w Kagera

    Watu wa Kagera kweli mnalo. Yaani Makamu wa Rais anatoka kote huko anakuja mkoa ulio nyuma sana kiuchumi kutembelea msitu, kuhudhuria misa na kuzindua jengo la kagorofa kamoja tena mpakani. Miradi ya kimkakati iko wapi kuinua uchumi wa mkoa? Huu mkoa kweli umefelishwa na wasomi wake, wakipewa...
  10. Keynez

    Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa miradi mahsusi ya umeme. Vijiji vyote Bara kufikiwa umeme mwishoni mwa 2023

    Hii kauli waachane nayo maana tunajua si kweli na haitakuja kutokea. Anyways, tujiandae kwa zoezi kubwa la ukataji umeme lililoanza jana.
  11. Keynez

    Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

    Tukumbuke kuwa katika uchaguzi wa 2020, Lissu alikwenda pia polisi kudai gari lake ingawa sikumbuki kama alifanikiwa hata kuliona. Pia juzijuzi tu amesema Serikali haijamlipa madai yake ya pesa za matibabu na kiiuna mgongo na badala yake serikali imemlipia deni lake la gari kutoka katika pesa...
  12. Keynez

    Unakaa Nyumba ya Serikali, Unapikiwa na Beki 3 wa Serikali halafu Serikali itake kukuua kwa SMG nyumbani kwako?!

    Hivi kuna watu bado wanazijaribu hoja za namna hii kuona kama zita stick?
  13. Keynez

    Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

    Kwanza nikujulishe unaongea na mtu ambaye si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Kilichokuzuzua ni nini, makochi ya nyumbani kwa Lissu au tiles maana sikuelewi unajua!
  14. Keynez

    Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

    Basi tuachane nalo ila watu siyo wajinga kama unavyodhani
  15. Keynez

    Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

    Hivi comte na shabanmbarak ni mtu mmoja ila ID mbili tofauti au, nauliza tu?
  16. Keynez

    Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

    Nionyeshe kwenye video hapo aliposema gari lake "NI" V8 ya kisasa. Mwenyewe umekubali kuwa ni gari hilo lililopigwa risasi kwa hivyo hawezi kutumia maneno "gari lake NI" akizungumzia habari ya siku za nyuma kwa gari ambalo HANA. Unajua ukimquote kwa jinsi alivyosema, hoja yako inapotea ndiyo...
  17. Keynez

    Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

    Unaongelea gari hili siyo ambalo hajaliendesha toka shambulio lake na liko kwenye mikono ya serikali.
Back
Top Bottom